Giroud tangu ametua Arsenal hajawahi kupata striker wa kumpa pressure,wengi waliosajiliwa walikuwa na viwango vya chini ukiwalinganisha na Giroud (Chamakh,Wellbeck etc) so ame-relax hana pressure
Kuanzia last season Wenger alianza kumtumia Giroud as plan B kwenye mipira ya juu na amekuwa na efficiency kubwa sana ukiangalia ratio ya minutes per goal na hakuna mchezaji anayefanana nae hapo Arsenal.Sioni tofauti ya uchezaji wa Auba na Lacazette kumbuka Wenger amenunua 2 striker kwa almost paund mil 110 na Giroud alikuwa willing kuwa back up striker