Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hili ni gazeti la udaku usiliamini sana.
 
Dah, tunanunua mashati ila matako yako wazi kabisa.


Unaikumbuka Comment Yako Hii uliyoniquote kwenye Hule Uzi wetu kule? ↓↓


Kuna comment humu nilikwambia Liver wanawafungaga wakubwa, wale walio chini ya top 6 huwasumbua.


Sasa Sisi (Liverpool) tulifungwa "MOJA" na Nyinyi Mumefungwa "TATU" na Swansea Huyohuyo! Then from nowhere unakuja with empty mind unazungumza vitu vya Kiajabuajabu!!!

Mimi Katika EPL msimu huu nimefungwa Michezo Mitatu..

1) Man City
2) Spurs
3) Swansea

Ni Mmoja tu hapo aliye nje ya Top 6 ndiye aliyenifunga!! Sijui wewe Mwenzangu Waweza Niandikia Hapa Ni Wangapi Walio nje ya Top 6 wameshakufunga?
Sasa hapo tutaona Kati ya Mimi na Wewe nani Ana kawaida ya Kuliwa na Vibonde!!!
 
Ha haa povu, watu wananunua wachezaji bora duniani wewe unanunua mchezaji bora Dorrmund. Kuna tofauti kubwa hapa.
Kwani dortmund ni klabu ndogo duniani au uko usingizini.
Wewe mpira huujui ingefaa uendelee huko huko kwenye Biko kunakufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…