Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aube anakujaje timu ambayo hata nafasi ya nne imeshindikana, yaani umpeleke akacheze uefa Alhamisi!!
Ivi unajua Auba atacheza Alhamisi (Europa) kule anakobakia pia

Walivyoondoka hao maisha hayakusonga mbele, mna kakikombe kamoja tu toka waondoke tena na FA. Shida sana.
Una uhakika Arsenal amebeba kikombe kimoja tu au soka umedandia tu swahiba?
 
Tetesi

Wakati huo huo gazeti la Daily Star la Jumapili limethibitisha kuwa Arsenal wamepania kushinda mchuano wa kutia saini mkataba na mlinzi wa West Brom Jonny Evans, mwenye miaka 30, huku Manchester City wakiwa na uhakika wa kusaini mkataba na Aymeric Laporte kutoka Athletic Bilbao.
 
Tetesi
Arsenal lazima itimize kiwango cha Borussia Dortmund cha Euro milioni 60 inachokitaka kama bei ya kumnunua Pierre-Emerick Aubameyang, mwenye umri wa miaka 28, ama itafute kwingine, linasema gazeti la Sunday Mirror
 
Na hali si mbaya sasa kwa Mesut Ozil mwenye umri wa miaka 29, ambae masaibu yake yamekwisha , kufuatia kuondoka kwa Alexis Sanchez kutoka Arsenal hadi Manchester United, linabainisha gazeti la Manchester Evening News
 
Usaji wa Abu unaweza kukamilishwa muda si mrefu 60.Ila ukweli bila umbinde wa babu hata 80 angelipa.
Ni bora iwe hivyo maana gharama ilotumika hadi sasa ni kubwa then mnarudi patupu.
 
ORNSTEIN
BREAKING: Arsenal karibu kufikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Borussia Dortmund kwa ada ya rekodi ya klabu kwa dau la £ 60m. Uhamisho hauta kamilika mpaka [HASHTAG]#BVB[/HASHTAG] wapate replacement - haijulikani kama itakuwa Olivier Giroud au la [HASHTAG]#AFC[/HASHTAG]
 
Check out @bbcsport_david’s Tweet:
NILISEMA MIMI ACHENI KELELE ....
HUYU NDIO WA KUTOA HABARI ZA ARSENALNA SIO HAO WENGINE
Amkeni jamani
Pierre is 80% a gooner
BREAKING: Arsenal close to reaching agreement to sign to striker Pierre-Emerick Aubameyang from Borussia Dortmund for club-record fee in region of £60m. Transfer won’t be sanctioned until [HASHTAG]#BVB[/HASHTAG] have replacement lined up - remains unclear if that will be Olivier Giroud or not [HASHTAG]#AFC[/HASHTAG]
 
0e44271dcb177929e98205b7550b7c21.jpg
 
Unajua kuna jamaa alivumisha hii ya aubemiyang tangu mwaka jana tar.3/12 mshua wake anafanya kazi ndani ya Arsenal jamaa ile tumepigwa gemu na manyumbu watu wamechafukwa akasema tulieni jamani january sa7 anasepa afu aubemiyang anakuja tulieni jamaa wamemwandama juzi kati hapa baada ya arsenal kuonekana wanatoa hela ndogo watu wamemvamia kule tweet jamaa akawajibuje j4 ya tar.30 mtakuja kuappologize wote mnaonisema asaivi nishawambia aubemiyang atavaa uzi wa arsenal...tweet leo sijaenda watu watamwambiaje mshikaji
 
*CHANDIMU UPDATE*

Hili hapa ni moja ya gazeti maarufu sana nchini Ujerumani ambalo limeweza kutoa taarifa ya kwamba mshambuliaji wa Borussia Dortmund,Pierre-Emirike Aubameyang sasa ni ruksa kuondoka katika klabu hiyo.

Hivyo basi kwa nafasi hiyo itakuwa ni nafasi nzuri kwa klabu ya Arsenal ambapo walikuwa wakihitaji huduma ya mchezaji huyo.

@Official_DSK


87d563f70e38efed1446f697f96a1277.jpg
 
Back
Top Bottom