RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,782
- 129,562
Hawa wachezaji wengine unawajua wakicheza na Arsenal tu..Uyu Clucas leo duh...!
Hawa wachezaji wengine unawajua wakicheza na Arsenal tu..Uyu Clucas leo duh...!
Khe khe khe naangalia hii game ikiisha tu nalala niko hoi!
Hii ni kimya kimya mkuuHapa usingizi ushanipaa hawa Arsenal leo wamejua kunibutua,naona wafiwa wenzangu wamelala au wameamua kukausha leo.
Asubuhi watakua wamejaa barazani hapa watatunanga mpaka basi sasa ivi wamelala.Hii ni kimya kimya mkuu
Asante mtaniJamani poleni
Mou mrudishe mikhi manchester huku kwa kwa hawa aseno anatia huruma kweli
Hivi auba huko aliko si atakuwa amekata tamaa
