Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

da6d289aff80533598c2185ac8f6a771.jpg
 
Iko wazi wanasubiri Arsenal achezee vichapo waanze kuandika kua Sanchez alikua kila kitu wanatamani sana tupigwe wanaumia kua tumeshinda mechi mbili mfululizo tena style (Palace kala 4) na tumeshinda London Derby.
Hivi ni mchezaji gani aliyewahi ondoka Arsenal akawa na mafanikio makubwa ya vikombe zaidi ya mshahara wa six figures???
 
Gunners without Sanchez nahesabu game ya pili tunauwa mtu
 
Back
Top Bottom