we na arsenal MNA tofauti gani!?..kombe ambalo utachukua labda fa..mbali na hapo ni bure tudah....morinho na wewe ni nan mwenye frustuation ?
poleni sana arsenal, inaonesha ni jinsi gani imekuuma.
tuliza mshono babu vitu viingie, ngoja mtamsoma kama ni garasa ama sivyo.....
gracias alexis
Vigeugeu wale yaani tukipanda na wao wanapanda,alafu bado wanamtaka na OG katika hilo dili aende kwao kwa mkopo mpaka mwishoni wa msimu pumbavu sana hao jamaa
70? Na wenyewe waache wehu yaani toka 60 mpaka 70 angalau kwa 60 tulikuwa tunawasogelea
Vigeugeu wale yaani tukipanda na wao wanapanda,alafu bado wanamtaka na OG katika hilo dili aende kwao kwa mkopo mpaka mwishoni wa msimu pumbavu sana hao jamaa
Ubahili ndio kikwazo ndugu yangu,Arsenal wamegoma kufika 70 ambayo Dortmund wanataitaka tumekomaa na 58 mbaya zaidi Wenger kasema timu iko sawa bila uyo Auba.
Tuombe walegeze mioyo maana Auba amewatibua Dortmund kwa utovu wa nidhamu anaamini tunamsajili tukiendeleza wehu wetu tunaweza kumkosa kibwege tu.
Aliondoka Henry maisha yakasonga mbele, aliondoka vanpasie maisha kama kawa, fabregas sasa itakuwa huyo.mmmmh wakati roho zinawauma.
Wenger OUT, Trump IN.
View attachment 685104
Jamani mchakato wa Auba unaendaje huko uhakika wa kumchukua upo au tuachane na ndoto za mchana maana Wenger anajijua mwenyewe
Duh sasa nani wako tayari kumnunua kwa hiyo 70Ukweli Ni Kwamba:
• Uhakika Wa Auba Kuhama Dortmund Upo..
• Ila Uhakika Wa Auba Kuja Arsenal Ndiyo Hauko sawa...
Sababu:
• Dortmund wanataka hela ndefu £70m+ wakati Wenger Hayuko Tayari kuzitoa kutokana na Umri Wa Auba umeshakwenda, Nidhamu Yake si ya Kuridhisha, n uwezo wake pia unaonekana Kupungua..
• Wenger anaweza Kumnunua iwapo tu bei Yake itacheza kwenye £50m+
Jamani mchakato wa Auba unaendaje huko uhakika wa kumchukua upo au tuachane na ndoto za mchana maana Wenger anajijua mwenyewe


Duh sasa nani wako tayari kumnunua kwa hiyo 70