Mkuu cha tatu ndo chenyewe sasa..welbeck hafai kuanza.. Ila kama Pierre atasajiliwa..,anatakiwa atafutiwe nafasi pale mbele...huyo ni mnyama magoli anafungia kiungo chochote kile,na popote pale..na defender mmoja wa nguvu anatakiwa aongezeke....

Hapo tutakuwa tumeua..
Mkuu mikhi tayari hiyo labda Pierre.. Nasikia tena mahrez cjui...Mkuu hawa Mikh na Auba mmewatoa wapi tena au mna imani na bodi yetu yenye longolongo kibao...?
Ishu ya Mikhi wanadai wakala wake kakaza mpaka sasa ila Auba ni chaguo sahihi tatizo wakitajiwa tu mpunga basi bodi inatoka nduki [emoji23][emoji23]Mkuu mikhi tayari hiyo labda Pierre.. Nasikia tena mahrez cjui...
Sahivi naona wamekuwa serious kidogo akili ishaanza kuwaingia...
Natamani kuona Sanchez anasepa hata sasa ivi sijui kwa nini deal yake inachelewa ivi,bado kazi ya ku-offload haijaisha mzee naamini wapo wengi hawastahili kuvaa jezi ya Arsenal naungana na Henry kua wachezaji wetu wengi ile jezi kwao ni nzito.Kama wameoffload walcott na sanchez lazma wafanye jambo la maana kidogo,ukizingatia giroud nae haeleweki
Exactly kabisa mkuu...,kuna wachezaji utoto bado mwingi..Ishu ya Mikhi wanadai wakala wake kakaza mpaka sasa ila Auba ni chaguo sahihi tatizo wakitajiwa tu mpunga basi bodi inatoka nduki [emoji23][emoji23]
Natamani kuona Sanchez anasepa hata sasa ivi sijui kwa nini deal yake inachelewa ivi,bado kazi ya ku-offload haijaisha mzee naamini wapi wengi hawastahili kuvaa jezi ya Arsenal naungana na Henry kua wachezaji wetu wengi ile kezi kwao ni nzito.
Tatizo ni Kroenke Wenger hana tatizo, washabiki wengi wa Arsenal wanadhani wenger ndiye asiyetaka kuwanunua kina ronaldo na griesman, yenye timu inabania hela ya usajili, kuuza timu haitaki, Wenger ameifanya club iwe kubwa kila mtu anaifuatilia. Mbona madrid yenye ma star chekwa hata uropa mwakani wataisikia redioni. Wenger in.Tatizo ni Wenger.
hilo sun nikama vikaratasi vya shigongoTetesi
Arsenal na Chelsea wanammezea mate mshambuliaji wa Watford raia wa Brazil Richarlison 20. (Sun)
Wale kina iwobi,chambers,maitland niles,per, n.k ni wachezaji wa kalabao.....Ishu ya Mikhi wanadai wakala wake kakaza mpaka sasa ila Auba ni chaguo sahihi tatizo wakitajiwa tu mpunga basi bodi inatoka nduki [emoji23][emoji23]
Natamani kuona Sanchez anasepa hata sasa ivi sijui kwa nini deal yake inachelewa ivi,bado kazi ya ku-offload haijaisha mzee naamini wapi wengi hawastahili kuvaa jezi ya Arsenal naungana na Henry kua wachezaji wetu wengi ile kezi kwao ni nzito.
Tupeni huyo mtoto tuwape shaw, darmian, na blind tutawapa na fellain kama nyongeza. Na mkihitaji msaada wa kuhamisha vyombo vyao tutawasaidia pia free of charge.Wale kina iwobi,chambers, maitland niles per, n.k ni wachezaji wa kalabao.....