Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,561
Hongereni Liverpool mmeweza kututetea kwa Man City.
Poleni wazee wa "Lori ya mkaa".
Poleni wazee wa "Lori ya mkaa".
Hata europa mkizubaa mtakosa hakyanan!!![]()
![]()
haters hii leo thread yenu dadeqq!!!! Naona mnachekelea man city kugaragazwa...
Mr Hanna timu isiyotaka makombe....,tunayahitaji na tutayapata. ..
Wanazidi kuporomoka...sema wana nuksi hao; ukiona wanapoteza game ujue kuna wakubwa wengine watakufa.Na mwaka huu msipokua makini mtajikuta mko kwenye nafasi ya 10!
Tatizo ni Wenger.replacement ya sanchez ni Mahrez, inatakiwa kupata defenders wawili, tunahitaji namba 6, Malcom nimemfuatilia youtube, naona kama inaweza kuwa right addition
Mzimu wa man u mwaka jana umehamia kwa arsenal...na huu mzimu bado unazunguka man city na chelsea wajiandae nao mwakan!!Wanazidi kuporomoka...sema wana nuksi hao; ukiona wanapoteza game ujue kuna wakubwa wengine watakufa.
Sure...tatizo la Man Utd bado haijapata kocha anaeendana na falsafa ya timu.Mou yuko pale lakini atafanikisha malengo yake kwa falsafa isiyoendana na klabu.Mzimu wa man u mwaka jana umehamia kwa arsenal...na huu mzimu bado unazunguka man city na chelsea wajiandae nao mwakan!!
sanchez atawabebaSure...tatizo la Man Utd bado haijapata kocha anaeendana na falsafa ya timu.Mou yuko pale lakini atafanikisha malengo yake kwa falsafa isiyoendana na klabu.
Hatuko serious kama sanchez unamreplace na mahrez, ni upuuzi wa hali ya juu.replacement ya sanchez ni Mahrez, inatakiwa kupata defenders wawili, tunahitaji namba 6, Malcom nimemfuatilia youtube, naona kama inaweza kuwa right addition
Kwa taarifa yako mou ataongezewa mkataba tena mrefu tu!! kwa kifupi kwa sasa sijaona kocha aliyeijenga ile team kama mou!! we unadhan kocha gan anaiweza man u tofauti na mou kwa sasa?Sure...tatizo la Man Utd bado haijapata kocha anaeendana na falsafa ya timu.Mou yuko pale lakini atafanikisha malengo yake kwa falsafa isiyoendana na klabu.
Yaani mkuu mAhrez,jony Evans halafu kuna beki wa Burnley simjui jina hao wanatakiwa kabla dirisha halijafungwa....,hivi vitoto chambers na holding vikacheze carabao....replacement ya sanchez ni Mahrez, inatakiwa kupata defenders wawili, tunahitaji namba 6, Malcom nimemfuatilia youtube, naona kama inaweza kuwa right addition
Mi naiombea mabaya timu yangu, waondoke wote na timu ishuke hata daraja, The bitch Kronke lazima apate somo.Hata europa mkizubaa mtakosa hakyanan!!
Ozil na sanchez nao wanaondoka!!Kazi mnayo!!
Ondoa hiyo fikra mkuu.....and if you think it may happen, pole yakoNa mwaka huu msipokua makini mtajikuta mko kwenye nafasi ya 10!

Poleni nyie kwanza maana mnazidi kushuka tu kila sikuOndoa hiyo fikra mkuu.....and if you think it may happen, pole yako![]()
Kwq spidi hii, inawezekana kabisa.Ondoa hiyo fikra mkuu.....and if you think it may happen, pole yako![]()
Man u inasajili ili iuze jezi nyingi....Daaaah maisha ya mpira bna Ni nouma yaani pengo la coutinho linaonekana Arsenal badala ya Liverpool*![]()
Haaaa haaaa unawaita wanazi wa Manure waje watusurubuMan u inasajili ili iuze jezi nyingi....
Haisajili ili inyanyue kwapa...
Leo tulikuwa tunAtest eneo gani hatupo vzr......,ngoj tushushe mastaa.,mtaifunga hiyo thread yenu nawaambia...Poleni nyie kwanza maana mnazidi kushuka tu kila siku
Ulimuona Wenger anaikochi arsenal leo ww madenge??Kwq spidi hii, inawezekana kabisa.
Alafu Wenherr ni fala zaidi, sijui huo uchumi wake wa usomi ni wa miundo mbini tuu?? Yaani Sanchez na Ozil wakiwa wamebakiza miaka 2.5 au 3 ya mikataba yao ilitakiwa akae nao chini. Yeye anasubiri mpaka mwaka mmoja na nusu au mmoja sasa ndio hao wanajiondokea tena kwa bei chee.
Ndo wamejaa humu sasa mkuu....Haaaa haaaa unawaita wanazi wa Manure waje watusurubu