Napendekeza hii THREAD ya ARSENAL iwe suspended/banned hadi pale Wenger atakapoondoka kitini. Baadhi yetu tumeshajisuspend hapa, kilichobaki ni kuchungulia na kuanza. Thank you and God bless you.
we radika post za huyo zwazwa usiwe unazileta humu bhana...huyo zuzu timu zingine zikifungwa anatulia....ila arsenal ikifungwa anaanza kuchezesha kijambio ka anatafuta mume.....ana mihemko sana na arsenal inabidi Wenger akampose...
pole ipi mkuu sijAiona pole yako....Mbona pole yangu hupokei jirani!???
pole ipi mkuu sijAiona pole yako....
hata kama ulinipa pole,ww ulishinda??
bakAyokooooo!!!!!! hhhhhhhhhh!!!!
tulia leo uwekwe ndo uje kunipA hiyo pole......Pokea pole kwanza
pole ipi mkuu sijAiona pole yako....
hata kama ulinipa pole,ww ulishinda??
bakAyokooooo!!!!!! hhhhhhhhhh!!!!
mahrez!!!!Pole mkuu!
So what!!!???hapa ndo nampendeaga commentiator John Champion kwa kijembe cha mechi yenu ya juzi, alimaliza kwa kusema "BOURNAMOUTH 2, SANCHES WITH ARSENAL! 1. nilicheka sana!
Rudi mkuu, kipenda roho....Naandika sana kuhusu Arsenal lakini si kwenye uzi huu mfu, siasa nilikuwa busy hata kabla ya uzi huu maana siasa ndizo zilinifanya nijiunge hapa pamoja.