Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal inahitaji kocha mpya aanze era mpya Sanchez,Ozil,Walcott wanaondoka pia wachezaji kama Metersacker,Koscielny,Giroud,Carzola umri umeshakwenda wanahitajika wachezaji wapya
 
Burudani ni kua bodi ya Arsenal na AW hawashtuki na watakausha wakiamini kua na ili pia litapita.
Wanawachezea akili sana washabiki wao, hasa wale Season Ticket holders, its not fair, kuna siku watagoma hawa wajamaa watajijuwa, subiri tu..
 
Man u inasajili ili iuze jezi nyingi....
Haisajili ili inyanyue kwapa...

Paul+Pogba+Ajax+v+Manchester+United+UEFA+Europa+Iab4jDnrI6Wl.jpg
martialfa.jpg
 
Hii rekod itasimama muda mrefu sana heshima kwa wenger japo kayumba kidogo.
FB_IMG_1515958720400.jpg
 
Week end tamu hii, huku Chelsea... huku Man City ...huku Arsenal na kesho Stoke anapigwa nyingi
 
Hii rekod itasimama muda mrefu sana heshima kwa wenger japo kayumba kidogo.
View attachment 675654


Sio itasimama muda Mrefu Bali itasimama milele Coz Kikosi Kama Hichi hakitatokea Tena Kuwepo Katika Sayari hii...
Halafu leo anatokea Mtu from nowhere anasema
Kikosi cha kina Sterling na Otamendi ndiyo Kikosi bora cha Miaka yote alaaa!
 
Back
Top Bottom