Sijui mtabeba kombe gani
Muasisi wa hilo cheko ka-AWOLKhe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeee
Wala..Waungwana kwema humu?
Mkuu bora tumalize hata nafasi ya chini huko ili watu akili ziwaingie vzr mi kwangu kiroho safi kuliko kumaliza nafasi za juu halafu tuyaone hayahaya next season.....FT
BOU 2-1 Arsenal
Fair result,timu haina jipya tuko kama watoto vile naamini kuna darasa la kujifunza maana kuna dalili tukamaliza ligi nafasi ambayo hatujawahi kuifikiria karibuni.
Still Arsenal fan(die hard fan) na nitabaki ivyo.
Machungu zaidi yule ndorobo [HASHTAG]#Oxlade[/HASHTAG] kapiga bonge la bao!
Leo hata usingizi sidhani kama tutapata, *****...🙁😡😕😎😳😱😵
Salamu zake zishatufikia.....Chamberlain anawasalimia huko