McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Kila la heri Arsenal
COYG......!
COYG......!
Ukweli mchungu swahiba,mara zote nikiwaona Iwobi na Welbz najua kabisa kuna wehu utaendelea.Mpira umedoroa sana, kama vile hatuna confidence, au tunaogopa kushambilia..
Ka timu kka fresh, ila hatuna ile kasi na ubuniifu mbele, ka timu kako kama ka middle table kabisa, ila babu anaona sawa, hakuna cha title, chp lg wala FA cup, hata League Cup sahau..
Kila timu ina key players na wakikosekana lazima uone mapungufu ni kawaida kwenye soka.Hii game haina tofauti na chandimu. Mpira mbovu, Uwezi kulipa pesa kwenda kuangalia game mbovu kama hii.
Nimegundua timu yenu bila Ozil na Sanchez ni "shithole"
Soory lakini
Hii game haina tofauti na chandimu. Mpira mbovu, Uwezi kulipa pesa kwenda kuangalia game mbovu kama hii.
Nimegundua timu yenu bila Ozil na Sanchez ni "shithole"
Soory lakini

Tuvumilie tu mkuu, sijuwi babu hata anatupeleka wapi, ila Gunners forever, tutapata jembe tu, soon, hii timu yahitaji kocha mwingine, mgumu, tactical aware, mkali, mbona tutaanza tena kuogopwa, kwa sasa tuko laini mno, players kama hawajali vile..Ukweli mchungu swahiba,mara zote nikiwaona Iwobi na Welbz najua kabisa kuna wehu utaendelea.