Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Manchester City wanatarajiwa kutoa ofa mpya kwa mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez, 29, na wanaamini kuwa Arsenal watamruhusu raia huyo wa Chile kuondoka mwezi huu.


Sanchez yuko tayari kurejesha kima cha pauni milioni 25 kuhakikisha kuwa amejiunga na Manchester City mwezi huu. (Sun)

Arsenal watamruhusu Sanchez kuondoka ikiwa watapokea hadi paui milioni 30 na wanataka shughuli hiyo kukamilika mapema ili kuwawezesha kumtafuta mchezaji ambaye atachukua mahala pake. (Mirror)
Taarifa zinasema kuwa Sanchez huenda akajiunga na Manchester City kwa muda wa wiki moja inayokuja. (Independent)
 
Arsenal na Liverpool wana nia ya kumsaini kiungo wa kati wa Barcelona na Croatia Ivan Rakitic, 29, ambaye anataka kuondoka kufuatia kuwasili kwa Philippe Coutinho. (Diariogol - in Spanish)
 
Mwamba
db37841f280ae6aea91ced43d857e529.jpg
 
Tetesi

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anatarajiwa kuilipa Boca Juniors kitita cha pauni milioni 27 kumsajili Cristian Pavon katika ligi ya premia. (TyC Sports - in Spanish)

Wakati huohuo, Wenger anatarajiwa kukaa katika viti vya mashabiki katika uwanja wa Stamford Bridge kwa mechi ya Jumatano ya nusu fainali ya kombe la Carabao baada ya kupigwa marufuku ya kukaa katika eneo la wakufunzi (Express)
 
Tetesi

Liverpool na Arsenal watalazimika kulipa takriban £90m kumsajili mshambuliaji wa Monaco Thomas Lemar, 22. (Mirror)

Lakini kulingana na mwandishi wa Ufaransa Julien Laurens, huenda akachelewesha uhamisho wake Liverpool kutokana na michuano ya kombe la dunia (5 live's Euro Leagues podcast)
 
Tetesi

Manchester City wameipatia Arsenal dau la £20m ili kumsajili Alexis Sanchez, 29, huku mshambuliaji huyo wa Chile akidaiwa kukubali malipo ya £250,00 kwa wiki..(Guardian)
 
Tetesi

Arsenal itawasilisha rasmi ombi jipya la kandarasi mpya ya kiungo wa kati wa Uingereza Jack Wilshere.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 anatarajiwa kuanza mazungumzo na Arsenal katika kipindi cha wiki moja ijayo na atalazimika kupunguza mshahara wake ili kusalia klabu hiyo. (Mirror)
 
Tetesi

Liverpool na Arsenal watalazimika kulipa takriban £90m kumsajili mshambuliaji wa Monaco Thomas Lemar, 22. (Mirror)

Lakini kulingana na mwandishi wa Ufaransa Julien Laurens, huenda akachelewesha uhamisho wake Liverpool kutokana na michuano ya kombe la dunia (5 live's Euro Leagues podcast)
Wishful thinking while Mugabe/Kagame is in Power..
 
Mdogo wangu JW10 anaendeleaje maana napata hisia ataitwa yule WC nimeona leo kapewa kamba.
Kacheza fresh, ila katoka kaumia, uzuri alitembea mwenyewe kutoka nje...
He is a good player, creative...
Kuna wakati alivyochipukia nilijuwa huyu bwana angewasha moto Emirates, labda muda upo, kuumia nako hakujasaidia..
 
Bora leo haters wametuliza vidomo vyao...
Tungelose wangeshavamia humu sasa....
 
Back
Top Bottom