Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We braza wacha unaaaa...... Hamumpondi kule kila kukicha???
Toka nianze kuingia ktk jukwaa la manchester united hakuna siku wala post nliomponda pogba naujua uwezo wake akiwa juventus mfumo uliopo kwetu unambana sana wa kuzuia akiachiwa yule ni mnyama ila kama hukuwah kuangalia serie A ngumu sana kujua uwezo wa pogba mana wengine ni epl tu
 
Nacheki ligi zote mm.....mi si wakispoti.....
Ningekuwa nauwezo wa kumove post yako huku ningekukamata vzr....
Ngoja ntaqoute post yako kule uliyomponda pogba ntakuonyesha...
 
Nacheki ligi zote mm.....mi si wakispoti.....
Ningekuwa nauwezo wa kumove post yako huku ningekukamata vzr....
Ngoja ntaqoute post yako kule uliyomponda pogba ntakuonyesha...
Nenda mkuu mm pogba nampenda sana ila sio kumpa u captain hicho tu sipend kuna wakongwe pale
 
Screenshot_2018-01-09-00-04-14.png
 
Chelsea, Arsenal & Man Utd zamwania Bailey

Chelsea, Manchester United na Arsenal zinataka kuingia vitani kuwania saini ya Leon Bailey, kwa mujibu wa Mirror.
Winga huyo wa Leverkusen anaweza kupatikana kwa ada ya uhamisho ya kiasi cha £40 milioni, ingawa klabu inasita kumuuza.
 
Tetesi
Arsenal wanamtaka Lemar kwa £90m kumrithi Alexis

Thomas Lemar amerudi kwenye rada za Arsenal akitarajiwa kutua Emirates kuchukua nafasi ya Alexis Sanchez anayetazamiwa kwenda Man City, kwa mujibu wa Mirror.
 
Arsenal wamemuorodhesha mshambuajia wa Monaco Thomas Lemar, 22, kuwa nambari moja katika kuchukua mahala pake Sanchez, baada ya kushindwa kumsaini mfaransa huyo msimu uliopita. (Mirror)
 
Back
Top Bottom