radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,291
Anamafanikio kuishinda club ya arsenal yote.[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] View attachment 671092
Anamafanikio kuishinda club ya arsenal yote.[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] View attachment 671092
Kuna sehemu nimetaja jina lako we aunt? Hasira za mlichofanywa huko forest usiniletee mimi huku
Unaelement za kipofu..Kumbe uyu jamaa ni shabiki wa Asnoo, akija kwenye jukwaa letu anajifanya ni Barcelona.
Hakana kitu hako, watu wengine wazazi wao wakubali tu sperm zao zilipotea bure.Kumbe uyu jamaa ni shabiki wa Asnoo, akija kwenye jukwaa letu anajifanya ni Barcelona.
Hata kiwango cha ozil hajakifikiaAnamafanikio kuishinda club ya arsenal yote.
Angalia rekod zao achana na huo uchafu ozil mech kubwa anapoteaHata kiwango cha ozil hajakifikia
[emoji27] [emoji27] [emoji22] [emoji24]Tetesi
Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger anasema klabu yake haiko tayari kuongeza wachezaji zaidi Januari baada ya kumnunua kijana kutoka Ugiriki wa umri wa miaka 20, Konstantinos Mavropanos. (Sun)
Hatutaki matusi humu.......peleka huko kwenu....kunguruHakana kitu hako, watu wengine wazazi wao wakubali tu sperm zao zilipotea bure.
Alipoteana IPI????? Huyu si pogba manyweleAngalia rekod zao achana na huo uchafu ozil mech kubwa anapotea
Umemshindwa giggs?Alipoteana IPI????? Huyu si pogba manywele
Hii ni kweli ama????Tetesi
Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger anasema klabu yake haiko tayari kuongeza wachezaji zaidi Januari baada ya kumnunua kijana kutoka Ugiriki wa umri wa miaka 20, Konstantinos Mavropanos. (Sun)
Wenger anautani kwani?Hii ni kweli ama????
Kivipi????Umemshindwa giggs?
Pogba kaingia vp?Kivipi????
Tutawanyoa hivyohivyoWenger anautani kwani?
[emoji23] [emoji23] labda mourinho aamue kuwaachia kama mwaka janaTutawanyoa hivyohivyo
Anapoteana big match......anabadili hair style kila kukichaPogba kaingia vp?
Hamna kitu kama hicho labda aanze keshoAnapoteana big match......anabadili hair style kila kukicha