McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
HT
WBA 0-0 Arsenal
WBA 0-0 Arsenal
[emoji20] [emoji16] [emoji5] [emoji16] [emoji19]Line up
![]()
Muarabu (Ozil) majeruhi.
Leo west brom watoa sale ya wao kufunga magoli yotePumbav hii mibeki mijingAjingA ka Chambers inafAnya nn arsenal??????????
Wenger kaanzA tena tabiA yake ya kufumua kikosi
Huyo DG hajakomaa bado
KApambane na hali yAko kwAnzALeo west brom watoa sale ya wao kufunga magoli yote
KApambane na hali yAko kwAnzA
Hahhaaa, mkuu kumbe unajifichaga na huku?Pumbav hii mibeki mijingAjingA ka Chambers inafAnya nn arsenal??????????
Wenger kaanzA tena tabiA yake ya kufumua kikosi
Huyo DG hajakomaa bado
[emoji2] [emoji2] [emoji2] huku ndo kwetu mkuu krb sanaHahhaaa, mkuu kumbe unajifichaga na huku?
We naye mkubwa c mnalialia tu kule kwenu eti mmekata tamaaepl raha sana na bado hajakutana na sisi wakubwa ntakunyoosha tena.
Ozil yupo....????Arsenal fans.game ya leo vipi na wazee wa darajani?
Wakuu kesho mwarabu ozil yupo??
Ozil yupo....????
Wenga muhuni siku hizi yanaweza tokea ya lacazete na man u!Ozil na Koscielny bado hawana uhakika mpaka nacheki updates mara ya mwisho.