lineup ya leo hiiView attachment 667802
hivi kwa dar na hii mvua tutaweza angalia hii mechi kweli?Backline dhoofu kwa mtazamo wangu,tunahitaji aina fulani ya miujiza.
Huku nilipo mvua ishaondoka na umeme!hivi kwa dar na hii mvua tutaweza angalia hii mechi kweli?
Leo watashinda njaa siyo magoliLeo ni moja ya zile siku chache ambazo huwa NAOMBEA ARSENAL WASHINDE.....Lakini huwa wananiangusha!
Mvua inazuia game?hivi kwa dar na hii mvua tutaweza angalia hii mechi kweli?
SawaWadau ambae atapata bahati kuangalia game awe anatupatia up-dates.
Ucanze uchawi mapema......,calm down.Leo ni moja ya zile siku chache ambazo huwa NAOMBEA ARSENAL WASHINDE.....Lakini huwa wananiangusha!
Mbona Chambers anaaminika sana....????Backline dhoofu kwa mtazamo wangu,tunahitaji aina fulani ya miujiza.
Ozil mwarabu nakuaminia...lineup ya leo hiiView attachment 667802