Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Morinyo huwa anavizia tu kufunga hana mpira wowote wa starehe. Game ya arsenal alipaki basi akalala na juu na ninaiona Man United nje ya Top four kwa kuwa haiwezi kumaintain matokeo yake huku wakihitaji mafanikio makubwa mapema.
Man inakufa taratibu.
Sijawahi furahia mpira wa Man u ukiacha ile miaka ya 2003 plus enzi ya Keane wanaonyeshana umwamba na Viera
 
Kama timu inapaki dakika tisini utawezaje kuona vipaji vya wachezaji. Ubora wa timu haupatikani kwa kupaki basi.
Moyes angeiweka man United sawa ila uharaka wa kupata Matokeo mazuri mapema wakati timu ilishajifia inahitaji kusukwa upya.
Alipokuwa anaingia fagason alidai apewe miaka mitatu aondoe utawala wa Liverpool uingereza na kweli alifanikiwa sasa wakati umefika naye ameondolewa.
Kwa soka la sasa uingerza haiwezi kuwa na mbabe kama nyuma itakuwa kupishana mlangoni tu timu zote ziko imara.
Haijalishi timu inafungwa au inashinda mimi nahitaji kuona mpira wa burudani kama unaochezwa na barca na arsenal. Siku timu hizi zikiacha kucheza mpira huo nitasimama kuona mpira.
 
Absolutely. ..ndio maana tulipofungwa 3-1 mechi iliyopita wapenzi wa Man u walidai kuwa Man u ilikuwa inacheza mpira Arsenal ilikuwa inachezea mpira...kwao muhimu ni kuingiza mpira wavuni...kimsingi ndio muhimu zaidi nadhani. Am missing the presrnce of Saint Carzola kwenye kiungo...
 
arsenal lineup to face crystal palace
FB_IMG_1514488295715.jpg
 
Back
Top Bottom