Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msimu uliopita nilipata matokeo chanya kwako lakini Arsenal ilishindwa kuingia top 4 baada ya almost miongo miwili simply hakuna uhusiano wowote wa matokeo ya Arsenal na kufungwa/kushinda dhidi ya Utd

Naamini ulikua unatazama game yenu ndio maana umeuliza ivyo,ila angalia post yangu ya juu baada ya 1st half nilisema leo JW10 na Iwobi ndio wanaipa timu uhai ivyo kutolewa Iwobi ilikua lazima nishangae hasa kuona anaingia Welbeck ambae ni zaidi ya mediocre.
Maana yangu mchezaji kama Iwobi akiwa ni afadhali kuliko anaeingia kuna tatizo.
 
Ivi unajua Lingard na Rashford ni tegemeo la Utd hili hauoni kama tatizo kwako ila unashangaa kuhusu Iwobi,duh hauoni tofauti ya ukubwa wa Utd kwa sasa ukiangalia squad yako na jinsi wanavyocheza bila ile kujitoa ifike time tupunguze mahaba.
 
Kweli tumebakiza mdomo tu...maana mwaka jana tulipiga domo la kubeba Europa. Sasa tunapiga domo la kucheza UCL, huku nyiye mkiangalia Futuhi Alhamisi!

Pole sana chifu, angalia Arsenal isije kukupa pressure bure. Unaona wenzako wamekimbia, hawataki magonjwa.

Ukiona umeanza kuliongelea Europa basi ni dhahiri kua glory era is over,hakuna heshima kwenye Europa ila kwa kua amebeba Utd na wao wamebakia mdomo tu basi wanajitahidi kulipamba nani alishtuka wale watoto walipobeba mara 3 mfululizo(kama sijakosea) fikiria siku Messi au CR7 wakiangukia kwenye Europa na timu zao.
 
Ivi unajua Lingard na Rashford ni tegemeo la Utd hili hauoni kama tatizo kwako ila unashangaa kuhusu Iwobi,duh hauoni tofauti ya ukubwa wa Utd kwa sasa ukiangalia squad yako na jinsi wanavyocheza bila ile kujitoa ifike time tupunguze mahaba.
Hao sio tegemezi ndio maana huwa hata wasipocheza hamna tofauti. Sasa Iwobi unaweza kumfananisha na Rashford? Btw Rashford sio tegemeo ndio maana zaidi ya nusu ya mechi anaanzia benchi kama Martial tu, hata kwenye kufunga sio tegemeo. Anyway basi Arsenal wazuri kuliko Man utd.
 
Ukiona umeanza kuliongelea Europa basi ni dhahiri kua glory era is over,hakuna heshima kwenye Europa ila kwa kua amebeba Utd na wao wamebakia mdomo tu basi wanajitahidi kulipamba nani alishtuka wale watoto walipobeba mara 3 mfululizo(kama sijakosea) fikiria siku Messi au CR7 wakiangukia kwenye Europa na timu zao.
Ukichukua Europa utacheza ECL mkuu, jitahidini. Glory days are over kisa Man utd hajashinda ECL au EPL title kwa maana hii Arsenal atakuwa wapi maanake hajawahi kushinda ECL na mara ya mwisho kushinda EPL sina uhakika ni miaka 12 ai 15 iliopita.
 
leicester city yupo on fire huko nyie wazee wa mtaa wa 7
25158175_1536226336468169_1050754695192598554_n.jpg
 
Hao sio tegemezi ndio maana huwa hata wasipocheza hamna tofauti. Sasa Iwobi unaweza kumfananisha na Rashford? Btw Rashford sio tegemeo ndio maana zaidi ya nusu ya mechi anaanzia benchi kama Martial tu, hata kwenye kufunga sio tegemeo. Anyway basi Arsenal wazuri kuliko Man utd.

ivi una kikosi bila ya hao mediocre(Rashford na Lingard) wanapotokea bench kocha anamaanisha wanaenda kubadilisha/kuongeza kitu unakataa tena sio tegemezi BTW hata Iwobi mara nyingi anatokea bench heeee heeee kuwakata hao watoto wenu wawili kua sio tegemezi kwenu ni UNAFIKI.
 
Sawa. Naona povu lishaanza kutoka. Uwe na siku njema.
 
Ukichukua Europa utacheza ECL mkuu, jitahidini. Glory days are over kisa Man utd hajashinda ECL au EPL title kwa maana hii Arsenal atakuwa wapi maanake hajawahi kushinda ECL na mara ya mwisho kushinda EPL sina uhakika ni miaka 12 ai 15 iliopita.

12 years and counting hii iko wazi ila na wewe ushajiuliza una miaka mingapi na matumaini yapo vipi,ishu ya Europa iko wazi ni kwa walioshindwa kaka lile sio kombe la kuvimba kwa timu kama Utd.
 
15yrs and counting. Samahani mkuu naona nimegusa nerve.
 
....Usiku wa jana Arsenal walilazimisha sare ya pili mfululizo wakiwa katika uwanja wa ugenini na hii imeifanya Arsenal kucheza mechi 9 wakiwa Away na kushinda mechi 2,wakitoa sare 3 na kupoteza mechi 4

Sasa inashika nafasi 7 ikiwa chini ya Burnley yenye pointi 31,papo hapo katika mechi 9 za away wameruhusu wavu wao kuguswa mara 13 na wao kuondoka na magoli 9 tu..
 
Kuna tofauti ndogo ya pts kati ya 4 na 7
 
12 years and counting hii iko wazi ila na wewe ushajiuliza una miaka mingapi na matumaini yapo vipi.

United won the EPL title in 2012/13 season. So, it has been 4 years since the last championship.

Goons won the last EPL title in the 2003/04 seasons, that is 13 years bruv.

Matumaini: United is sitting 2nd in the league, as a contender. Goons is sitting 7th in the league, vying for a 4th spot.

If you don’t see the difference, then I feel sorry for you.
 
yaani tofauti ni point 8 tu tunawakuta
 
Back
Top Bottom