Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Mashabiki wa gunners wengine cjui mpojeNi ngumu kuhama kushabikia timu...Lakini tunavumilia mateso haya ya poor performance ya Arsenal kwa sababu wenye timu wanadhani Wenger ni Alfa and Omega...Disgusting indeed
Ndo maana mnachekwa mitaani
Ww kwa mfano unalalamikia nn sahivi.Droo na west ham? Mbona kuna wengine wamekalia kule
Sisi gunners miezi hii ya November na December mara nyingi ni miezi dume.Wenger hulalamikiwa sana miezi hii.
Mi naamini tutarudi ktk ubora wetu kuanzia j mosi.Tunaanza na Newcastle nyumbani tunampa za kutosha stress zinaondoka
Sasa nyie babu babu babu mnakera bhana
️