McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Hivi kwanini tukiwachapa huwa mnachanganyikiwa? Kabla ya kuwapa kile kichapo cha 1-3 mlikuwa kwenye form ila tangu tuwape zile tatu naona draw mbili mfululizo! Jitahidini nafasi ya nne siku hizi si lelemama!
[emoji23][emoji23][emoji23] mwamba unavovimba mpaka nimecheka duh hizi timu zetu kweli zina mashabiki oyaaaa oyaaaa.