Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

unaniacha pointi ngapi?
2d554dd89636669c88bc856228624810.jpg
 
Anza kwanza Kupambana na burnley ukileta mchezo hukai hata nafas nafasi ya 6 kukuwezesha mwakan kucheza ueropa
Hivi network za 4g hazishiki siku hizi.Naona sahivi zimeshuka hadi 1g.Muda si mrefu zitaanza zile 0g(draw) nyingi kupitiliza.Zitaenda hadi negative g(visago)
Asee ngoja nisikae sana huku chini naona mwenye nafasi anaanza kunipigia hodi
 
Sawa. Naona povu lishaanza kutoka. Uwe na siku njema.
Nyie mashushushu wekundu last week mlikuwaga wapi mbona mlipotelea kusikojulikana? Sikuelewa tatizo nn nikaamua kuwaibukia hukohuko kwenu nikakuta mmejazana huko mnaelezana matatizo yenu
Jana saa sita tu mshajazana humu
Msiwe mnakimbia muwe mnabaki humuhumu
Halafu mambo yakienda upinde muwe mnareplay post zetu msiwe mnaqoute post zenu wenyewe
Tabia mbaya
 
Hivi network za 4g hazishiki siku hizi.Naona sahivi zimeshuka hadi 1g.Muda si mrefu zitaanza zile 0g(draw) nyingi kupitiliza.Zitaenda hadi negative g(visago)
Asee ngoja nisikae sana huku chini naona mwenye nafasi anaanza kunipigia hodi

utakuwa mgeni kwenye mpira si ajabu ndo mana mshabik wa arsenal aliekuambia timu ikiwa inashinda 4y huwa hivyo had lig uliona wapi? mlipomfunga huddersfield 5 mbona hamkuendelea?
 
utakuwa mgeni kwenye mpira si ajabu ndo mana mshabik wa arsenal aliekuambia timu ikiwa inashinda 4y huwa hivyo had lig uliona wapi? mlipomfunga huddersfield 5 mbona hamkuendelea?
Ww hizo nne zako uliendelea nazo?
Sisi si waongeaji ka ninyi,ulitusikia tunaongea sana ka nyie?

ENDELEENI KUOTA EPL
BINGWA M1 TU WENGINE TUTALINGANA TU MWISHO WA MSIMU MAN U,CHELSEA,TOTI NA TAKATAKA NYINGINE TUPA KULE
TUTAONYESHANA UBABE FA
 
Ni ngumu kuhama kushabikia timu...Lakini tunavumilia mateso haya ya poor performance ya Arsenal kwa sababu wenye timu wanadhani Wenger ni Alfa and Omega...Disgusting indeed
 
Jezi nyeupe na nyekundu zinanikumbusha uzi wa Simba pia...sina ujanja nitavumilia haya maumivu...
 
Bosi wa Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza kuwa wachezaji wake wana jukumu kubwa kuendelea kupigania taji Ligi ya Uingereza, haijalishi ukubwa wa pengo la pointi baina yao na Manchester City.
Gunners sasa wana pengo la alama 19 dhidi ya City baada ya sare yao dhidi ya West Ham United kwenye uwanja wa London, wamecheza mechi ya tatu bila ushindi.
Wenger bado amekuwa mbishi kukata tamaa, licha ya pengo baina ya Arsenal na City kuendelea kuongezeka, na amesema kuwa Arsenal hawatakata tamaa.
"Tunahitaji kuelekeza akili zetu kwenye mechi inayofuata na City bado wapo mbali sana kuzungumzia ubingwa kwa sasa," aliwaambia waandishi. "Lakini kuwa mbali zaidi ni jambo lingine, na kukata tamaa ni jambo jingine. Hatukati tamaa. Kazi yetu ni kupambana kadiri ya uwezo wetu.
"Hatutaki kuelekeza nguvu kwenye jambo jingine lolote. Tunataka kupambana, kazi yetu ni kupambana na kuendelea kufanya kila kinachowezekana tuone tutamalizia wapi. City ni City. Mnajua fika kile kinachoendelea. Tumekumbana na tatizo ambalo kila mmoja amekumbana nalo dhidi ya City kwenye ligi."
Ni mara moja tu kwenye historia ya Ligi Kuu Uingereza Arsenal wamepata pointi chache zaidi kwenye mechi tisa za kwanza ugenini ndani ya msimu.
 
Mimi nishabiki wa Arsenal
Ila nasema kweli kbsa,hakuna mashibiki wajinga Duniani kama wa Arsenal tena wale wanaoingia viwanjani kuangalia mechi ya Arsenal pale Emirates
Ndio maana Wenger amekuwa na kiburi
Njia Rahisi nikugoma kwenda kiwanjani kwa muda wote mpaka mabadiliko yatapokuja
Hakuna kwenda ila inakwenda inafungwa wanasema Wenger out,tujiulize nani mjinga na mpumbavu kama sio sisi mashabiki na wapenzi wa Arsenal duniani,
 
Nadhani wengine wanakwenda sababu tiketi huuzwa mapema hivyo wanakuwa wameshanunua.
 
Mimi nishabiki wa Arsenal
Ila nasema kweli kbsa,hakuna mashibiki wajinga Duniani kama wa Arsenal tena wale wanaoingia viwanjani kuangalia mechi ya Arsenal pale Emirates
Ndio maana Wenger amekuwa na kiburi
Njia Rahisi nikugoma kwenda kiwanjani kwa muda wote mpaka mabadiliko yatapokuja
Hakuna kwenda ila inakwenda inafungwa wanasema Wenger out,tujiulize nani mjinga na mpumbavu kama sio sisi mashabiki na wapenzi wa Arsenal duniani,
Ww ndio mpumbav
Droo tu hizi umeshaanza kuwaza unuksi
Gepu lenyewe la pointi dogo
Ondoa stress,piga supu jioni,oga,kula,sali,lala
Tutarudi katika ubora wetu
Umesahau gunners na miezi hii ya mwishomwisho
Mambo hayatunyookeagi sana.
Fomu yetu itaanza kurudi
 
Back
Top Bottom