Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tetesi

Arsenal wako katika nafasi nzuri ya kumsaini kipa wa Manchester United Sergio Romero, 30. (Daily Star)
 
Tetesi

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa mshambuliaji Olivier Giroud, 31, atasalia klabu hiyo. Giroud amekuwa anataka kuoondoka klabu hiyo kwa mkopo. (Daily Mirror)
 
Tetesi
Arsenal wanafanya jitihada moja ya mwisho kumshawishi Mesut Ozil kusalia kwenye klabu, wakiwa na matumaini kuwa awamu nyingine mwisho ya mazungumzo kumshawishi mchezaji huo kusalia licha ya Barcelona na Manchester United Kummezea mate. (Daily Mirror)
 
Tetesi
Mshambuliaji wa Arsenal Olivier Giroud, 31, amefichua kuwa anatathmini kuondoka huko Emirates kujiongezea fursa yake ya kuchaguliwa kujiunga na kikosi kinatachoshiriki kombe la dunia. Everton na West Ham wamehusishwa. (Sun)

Lakini Arsene Wenger anasema kwa Giroud hawezi kuuzwa Januari kwa sababu anataka kumpa mshambuliaji huyo muda zaidi wa kucheza uwanjani. (Independent)
 
Tetesi
Arsenal wanafanya jitihada moja ya mwisho kumshawishi Mesut Ozil kusalia kwenye klabu, wakiwa na matumaini kuwa awamu nyingine mwisho ya mazungumzo kumshawishi mchezaji huo kusalia licha ya Barcelona na Manchester United Kummezea mate. (Daily Mirror)

Ozil anataka £300k kwa wiki ila Arsenal wametoa ofa inayokaribia kiasi ambacho Ozil anataka alipwe ingawa ofa ambayo Arsenal wameweka mezani bado itamfanya Ozil kua mchezaji anaelipwa zaidi pale Arsenal.
4b01d89bdd8802aba134a0ec0bc3800e.jpg

Arsenal wamalize hii kesi uyu jamaa ni muhimu sana na bado akiondoka kuna timu kubwa kibao zinahitaji huduma ya uyu muarabu.
 
Kocha wa timu ya Arsenal, Arsene Wenger amemtaka Olivier Giroud kubaki Emirates hadi mwishoni mwa msimu huu.

Kauli ya Wenger imekuja wakati Giroud akiwa amechukizwa na kitendo cha kuwekwa benchi muda mrefu.

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa, amefungua mlango wa kutoka katika usajili wa dirisha dogo Januari, mwakani baada ya kukosa namba kikosi cha kwanza.

Wenger anatambua mchezaji huyo amevurugwa, lakini hataki kumpa ruksa ya kuondoka hadi mwishoni mwa msimu akiamini kuwa atakuwa msaada kwake.

Kocha huyo amekuwa katika mazingira magumu tangu kuanza msimu huu baada ya nyota wake Alexis Sanchez na Mesut Ozil kugoma kutia saini mkataba mpya.

Giroud alikuwa shujaa wa Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu England uliopita baada ya kufunga bao la kusawazisha dakika ya 88 dhidi ya Southampton ‘Watakatifu’.

Mshambuliaji huyo anataka kujiunga na timu itakayompa nafasi ya kucheza mara kwa mara ili kupata fursa ya kuitwa katika kikosi cha Ufaransa kwa fainali za Kombe la Dunia mwakani.
 
Tetesi

Arsenal tayari wamefikia makubaliano ya pauni milioni 35.3 kumsaini mchezaji wa Sevilla Steven Nzonzi mwezi Januari. (Gol kupitia Daily Mirror)
 
Yes,Yes Nzuri,Nzuri sana habar njema big up
Cech amezeeka ....He needs to retire. His flexibility between the poles is essentially slowly diminishing at an exponential rate...viungo vimekaza uzee unamnyemelea....
 
Mara ya mwisho JW10 kuanza kwenye EPL akiwa Arsenal ilikua 15 May 2016.
6eaf9029ef915f866223722fb77e2cc7.jpg

Naona AW amefanya mabadiliko kwenye squad ingawa napata mashaka sana nikiona kikosi kama hiki ila naamini babu anajua anachofanya.
All the best lads.......
 
Mara ya mwisho JW10 kuanza kwenye EPL akiwa Arsenal ilikua 15 May 2016.
6eaf9029ef915f866223722fb77e2cc7.jpg

Naona AW amefanya mabadiliko kwenye squad ingawa napata mashaka sana nikiona kikosi kama hiki ila naamini babu anajua anachofanya.
All the best lads.......
Wilshsre is good bhana.....
 
HT
Nothing to separate both sides,JW10 anasaka nafasi ya kwenda WC mwakani,so far JW10 na Iwobi ndio wanaleta matumaini.
 
Tunamuhitaji Lacazette hapa hii shughuli ishaingia utata,tunamiliki sana ila hakuna mtu wa kufanya jambo duh.
 
FT
WHU 0-0 Arsenal
Duh......!matokeo mabovu yanaendelea hawa jamaa hawajui kabisa thamani thamani ya jersey.
 
FT
WHU 0-0 Arsenal
Duh......!matokeo mabovu yanaendelea hawa jamaa hawajui kabisa thamani thamani ya jersey.
Hivi kwanini tukiwachapa huwa mnachanganyikiwa? Kabla ya kuwapa kile kichapo cha 1-3 mlikuwa kwenye form ila tangu tuwape zile tatu naona draw mbili mfululizo! Jitahidini nafasi ya nne siku hizi si lelemama!
 
Back
Top Bottom