Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Hahahaha!!!!!! Mi nilijiandaa kwa ushindi ama droo.Hawa Soton si wakispoti wakiwa kwao hasa yule jamaa yao Austin.Haaaaa haaaa duh mimi leo nilikua nina uhakika wa 3 Pts kaka ivyo bado nna huzuni,acha ninyonye hata bia kadhaa nisubiri wale jamaa baadae.
Waiter!!!!!! ongeza balimi


