Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FT
Soton 1-1 Arsenal
Tuna tatizo kubwa kwenye umaliziaji maana tunaweka kambi kwenye final 3rd ya wapinzani alafu hakuna matokeo.
 
Kabisa kabisa, mechi ugenini, lazima iwe ngumu tu, hawa Saints watawasumbuwa wengi tu, tusubiri Manure, wakifungwa aise tuwacheke ile mbaya RRONDO
Screenshot_2017-12-10-17-28-54.png
 
FT
Soton 1-1 Arsenal
Tuna tatizo kubwa kwenye umaliziaji maana tunaweka kambi kwenye final 3rd ya wapinzani alafu hakuna matokeo.
Arsenal hawana watia majaro, jamaa wapaki kwenye 18 na hao kina Ozil wanafurukuta palepale, afadhali wangemchuku kichuya.
 
Kutuacha mbali sio habari tena swahiba ni vema utuambie kua unakaza kumkimbiza jirani yako na kama ukipigwa basi ni dhahiri kua mbio za ubingwa zinakua zinatabirika.
La kumfukuza City halina mjadala. Leo hakuna kufungwa. Ni afadhali gap ibaki vile vile au ipungue.
 
Back
Top Bottom