Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Badala ya Kuingia Vitani na Mizinga Mpaka Kuitwa Kikosi cha Mizinga! Hatimae Waingia Vitani Na Mapanga na Kuitwa Kikosi Cha Mapanga...
😀😀 😀
 
Jana Chelsea walkua wanasema tutarudisha ila mpaka 90+5 game ni 1-0 waliibuka na kauli asiyekubali si mshindani, wakajificha kwenye shamba la karanga(Babu Seya)
 
Tuna struggle!
Arsenal.... Arsenal...Juzi wanakufurahisa, jana kipigo, leo frustrations!
Bado dk 45 waonyeshe tofauti..
 
Twajuwa The Saints wagumu, ila ni mechi kama hizi twatakiwa kuonyesha na sisi wazuri...
 
Back
Top Bottom