Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ratiba ya michezo mingine ya raundi ya tatu ya kombe la Fa.

Birmingham City v Burton Albion

Brighton & Hove Albion v Crystal Palace

Coventry City v Stoke City

Bolton Wanderers v Huddersfield Town

Queens Park Rangers v MK Dons

Middlesbrough v Sunderland

Fleetwood or Hereford v Leicester City

Blackburn Rovers or Crewe Alexandra v Hull City

Cardiff City v Mansfield Town

Shrewsbury Town v West Ham United

Wolverhampton Wanderers v Swansea City

Newcastle United v Luton Town

Fulham v Southampton
 
Hii comment yako tayari ilishakuondoa kwenye mizani ya kujadiliana na mimi, kivipi niendelee kubishana na kitoto cha juzi ambacho hakijui chochote kuhusiana na invincible side iliyoweka record isiyovunjwa kwenye historia ya EPL?
Nafikiri ungejibu..... oll guy ungekuwa umefanya la maana..... jibu kilichokuwemo kwenye hio comment tuone how old are you.
 
Unasemaje? Arsenal hajawahi kuchukua EPL back to back!!? Kumbe misimu ya 2002/2003 na 2003/2004 ule ubingwa ulichukua wewe eti ehee? Nini maana ya back to back kwako!!?

Kijana nakuomba umalize kwanza kidato cha NNE ndio uje kujadiliana mpira na mimi, nabishana na ndebile tu hapa.

Halafu pia naomba hii ndio iwe mara ya mwisho kuninukuu. Ni kupoteza nguvu na muda tu kuendelea kubishana na wewe.
Ndebile mie au weye sasa 😀 😀 😀 😀 😀 premier league back to back 2002/03 na 03/04? Are you sure unachoandika lakini? hebu usinichekeshe we koroma, kutaka kujifanya unajua mpira zamani kumbe ata hujui kitu.....

Let me tell you this, 2002/2003 bingwa alikuwa Man United Arsenal kachukua EPL back to back LIIIIINI?
2003/2004 bingwa alikuwa Arsenal.... sasa nambie hio back to back iko wapi?

Wewe umechukua 01/02 na 03/04 sasa 02/03 iko wapi ata ujisifie back to back? Nasubiri unijibu
 
Halafu nakulekebisha tena mpira hatuhesabu mwaka bali tunahesabu seasons
Halafu mbona unarudi kwenye best player si umesema nikutolee mfano wa timu nikakutolea
Hili jamaa mbona linajizunguka maneno yameisha nn
Eti man city na Chelsea wana ubabe gn England hao?
Waliopanda daraja majuzi au kisa
Walikugegeda
Naona ulishajiandaa kwa kisago j2
Wenzako wa liverpool washasepa humu we bado unajitia king'ang'anizi sana
Mtu mwenyewe discharged unatutajia vitu vya ajabu ajabu hapa Ww hujishutukii 2 au
Funga kopo lala

U are making yourself look like a joker in here, when will you accept the tide has turned? Yes man city na chelsea zimekuja juzi tu, they won the titles, you are 13 years with no title. Chelsea ya Juzi lakini ina champions League, wewe mwenzangu wa zamani una nini? kutwa unatolewa round of 16, sasa unataka kujifananisha wewe na chelsea saiv? au Man city? Hizi teams zipo zina fight for dominance of EPL not for the 4th place just to be in UEFA. Na ndio nikasema nazo hazijaweza kwa asilimia 100 kufikia dominance ya Man utd na Liverpool. for 4 seasons tangu aondoke fergie, kombe halitulii, limechukuliwa mara tatu na timu tofauti.

Mkuu kisha tumia akili, wapi nimesema kuwa eti mpira unatizamwa mwaka? au hukuona kuwa nilipotoa mfano wa man city nilisema mwaka ujao akiboronga lakini mwaka jana kafanya vizur hukuelewa? una akili za kinazi tatizo, ndio maana mnajipa misifa msokuwa nayo mwenzako kanipa kali EPL kachukua back to back, yaani hadi ule mwaka alochukuwa man utd amejipa yeye arsenal. Mshachanganyikiwa kama Wenger.

Aliekwambia tumejianda kwa kisago nani? sisi tunacheza strategic football sio possession football, na ndio maana tukawala rungu 3 ambazo zinawauma kuona mpira mlikuwa mnacheza nyie lakini magoli wamepata Man utd EL O EL!

Liverpool labda wapo kimya wanakucheki pembeni jinisi mnavojitamba wakati hamna kitu.
 
Ngoja nichukue jukumu la kuwakumbusha wapendwa, maana kuna watu wanajifanya wasahaulifu sana wakati hata wiki haijaisha
4e5237cb87b502db01b1a7c3008bfacc.jpg
 
U are making yourself look like a joker in here, when will you accept the tide has turned? Yes man city na chelsea zimekuja juzi tu, they won the titles, you are 13 years with no title. Chelsea ya Juzi lakini ina champions League, wewe mwenzangu wa zamani una nini? kutwa unatolewa round of 16, sasa unataka kujifananisha wewe na chelsea saiv? au Man city? Hizi teams zipo zina fight for dominance of EPL not for the 4th place just to be in UEFA. Na ndio nikasema nazo hazijaweza kwa asilimia 100 kufikia dominance ya Man utd na Liverpool. for 4 seasons tangu aondoke fergie, kombe halitulii, limechukuliwa mara tatu na timu tofauti.

Mkuu kisha tumia akili, wapi nimesema kuwa eti mpira unatizamwa mwaka? au hukuona kuwa nilipotoa mfano wa man city nilisema mwaka ujao akiboronga lakini mwaka jana kafanya vizur hukuelewa? una akili za kinazi tatizo, ndio maana mnajipa misifa msokuwa nayo mwenzako kanipa kali EPL kachukua back to back, yaani hadi ule mwaka alochukuwa man utd amejipa yeye arsenal. Mshachanganyikiwa kama Wenger.

Aliekwambia tumejianda kwa kisago nani? sisi tunacheza strategic football sio possession football, na ndio maana tukawala rungu 3 ambazo zinawauma kuona mpira mlikuwa mnacheza nyie lakini magoli wamepata Man utd EL O EL!

Liverpool labda wapo kimya wanakucheki pembeni jinisi mnavojitamba wakati hamna kitu.

Mkuu Mimi Huyo Jamaa Nimempuuza tu baada ya Kumuona Na Tatizo Flani la Kimichezo...
Bali Kwa Udhaifu Wa Kutokufikiri yeye anaona Kupuuzwa ndiyo Kukimbiwa.

Yaani Mkuu Nakushauri Bora Mpuuze Na wewe Haina Haja Kwa Timu Kama Man United Kushindana Na Kigenge Chake.

Hebu Pitia moja ya Reply zake Kaandika Eti Liverpool Ndiyo Timu inayoongoza Kwa Kuchezea Vichapo Vikubwa EPL kisa Nimefungwa 5 na City na 4 na Spurs
!!!! Hapa ndiyo nilimuona Kuwa Jamaa Zero Brain 😀😀

Yaani Kasahau Wazi Kuwa Hii Misimi miwili Mfululizo Nampiga NNE, NNE.... Na hapo Nyuma Kidogo tu Nilimpiga TANO... Na Nyuma Tena Kidogo tu Kaliwa 8 na Man United....
 
😀 😀 😀 wanapenda kujifariji hawa... kuna mmoja anasema msimu alochukua kombe Man utd amepewa yeye Arsenal 😀

Wanatamani kutawala EPL lakini kwa mentality walokuwa nayo ya tutafute nafasi ya nne ili tushiriki UEFA hawawezi kamwe, na watasubiri sana, na kila misimu ikenda mbele, badala ya kuonesha improvements wao ndo kwanza wanaonesha dissapointments tu.

Mi wananifurahisha kukataa kuwa the tide has changed, ni mda kila kocha na kila mshabiki kukubali ukweli usiopingika ili kujipanga vyema....

Tangu saizo wanatamba na Invincible season.... kumbe ndo ulikuwa msimu ulowatilia nuksi 😀 😀 😀

Wakubali kujipanga upya.....
 
N'zonzi yuko London kwa ajili ya ku-finalize usajili wake kwenye dirisha dogo mwezi january inaaminika ataigharimu Arsenal £ 35 m.
d9c6899d5c1f15968b489a7efa31104d.jpg

ANGALIZO:
Arsenal mpaka uone DONE DEAL ndio unakenua meno lolote linaweza kutokea
 
Tetesi
Arsenal wana nia ya kumuuza Theo Walcott, 28, mwezi Januari huku klabu yake ya zamani ya Southampton na West Hama wakimzea mate wing'a huyo wa England. (Sun)
 
Tetesi
Everton wamewaulizia Arsenal kuhusu mshambuliaji Theo Walcott, 28, ambaye bado hajaanza kucheza msimu huu. (Daily Mail)
 
Tetesi
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola atarudi na ofa kubwa ya kumsaini mshambuliaji wa Arsenal na Chile Alexis Sanchez, 28, mwezi Januari. (Independent)
 
Naamini Pep anatakiwa tu amsubiri kumchukua bure akimaliza kandarasi yake sioni nafasi ya Sanchez kuuzwa January,hii kwa maoni yangu lakini.
 
Hii comment yako tayari ilishakuondoa kwenye mizani ya kujadiliana na mimi, kivipi niendelee kubishana na kitoto cha juzi ambacho hakijui chochote kuhusiana na invincible side iliyoweka record isiyovunjwa kwenye historia ya EPL?

Unasemaje? Arsenal hajawahi kuchukua EPL back to back!!? Kumbe misimu ya 2002/2003 na 2003/2004 ule ubingwa ulichukua wewe eti ehee? Nini maana ya back to back kwako!!?

Kijana nakuomba umalize kwanza kidato cha NNE ndio uje kujadiliana mpira na mimi, nabishana na ndebile tu hapa.

Halafu pia naomba hii ndio iwe mara ya mwisho kuninukuu. Ni kupoteza nguvu na muda tu kuendelea kubishana na wewe.
Acha kupotosha umma, Arsenal hajachukua back to back EPL tangu 1992.

Kachukua 1998, 2002 na 2004 (Invincibles).!

So yah, the guy is correct & I stand to be corrected.!
 
Naona una matatizo makubwa sana ya comprehension

Halafu pia umekomaa kuongelea old glories utafikiri labda arsenal haina mafanikio yoyote hivi karibuni unashangaza jamaa. Kwanza kwanini unauliza mafanikio ya arsenal kwa miaka 10 iliyopita? Kwanini isiwe kwa miaka 20 au zaidi iliyopita huko?! Kwa taarifa yako kama ni kuongelea old glories basi arsenal inayo ya kujivunia ambayo hata timu yako ya man u haijawahi ya kuyaguasa wala haitokaa iyaguse mpaka dunia inafika mwisho.

Na nyie ni mafanikio gani ya kutisha hasa mlioyonayo kwa miaka minne iliyopita? Kama ni EPL drought basi hata nyie mko mbioni au ulioni hilo!? Huu msimu wa nne na nyie mkiwa mnasindikiza tu.

Mmeishia kusajiri wachezaji kwa gharama kubwa na bado timu incheza mpira MBOVU eti ilimradi magoli kwa hiyo msipofunga hakuna cha maana mnacho furahia..!! Arsenal hana strategy kwa mujibu wako lakini angalau hachezi kama FC MAKAMBAKO.
Siku ile ulivyomzungumzia Pogba nilijua ni bahati mbaya ila hii ya leo imenifanya nione si bahati mbaya. Hivi unaweza kulunganisha mafanikio ya Man Utd na Arsenal? Kipi ambacho Arsenal anamzidi Man Utd? Hata wenzio wa Arsenal wanakushangaa.
 
Hii comment yako tayari ilishakuondoa kwenye mizani ya kujadiliana na mimi, kivipi niendelee kubishana na kitoto cha juzi ambacho hakijui chochote kuhusiana na invincible side iliyoweka record isiyovunjwa kwenye historia ya EPL?

Unasemaje? Arsenal hajawahi kuchukua EPL back to back!!? Kumbe misimu ya 2002/2003 na 2003/2004 ule ubingwa ulichukua wewe eti ehee? Nini maana ya back to back kwako!!?

Kijana nakuomba umalize kwanza kidato cha NNE ndio uje kujadiliana mpira na mimi, nabishana na ndebile tu hapa.

Halafu pia naomba hii ndio iwe mara ya mwisho kuninukuu. Ni kupoteza nguvu na muda tu kuendelea kubishana na wewe.
Unajiaibisha. Arsenal hajawahi kushinda EPL back to back. NEVER!
 
Attachments

  • Screenshot_2017-12-06-22-08-43.png
    Screenshot_2017-12-06-22-08-43.png
    28.8 KB · Views: 45
  • Screenshot_2017-12-06-22-08-57.png
    Screenshot_2017-12-06-22-08-57.png
    27.2 KB · Views: 45
Nawaombea leo mshinde
Daaah Napoli na BVB wamewafuata Yuropa league
Kesho mnacheza na nani?
 
Back
Top Bottom