Mbwembwe za mashabiki na dynamics za mpira.. Always there is happiness and sadness moment in footballEti itatusaidia!! Naona mmeshasahau kale kawimbo ka [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG]
Mbwembwe za mashabiki na dynamics za mpira.. Always there is happiness and sadness moment in footballEti itatusaidia!! Naona mmeshasahau kale kawimbo ka [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG]
Nili-address kwa goons wote!Tafuta sehemu yoyote kwenye huu uzi au nje ya uzi huu ukikuta nimewahi kuandika neno Wenger Out basi nipewe BAN kwa mara ya kwanza.
Nili-address kwa goons wote!


Ila Mc nimejibu bila kuona comment zako, bado naamini Babu is past by sale date, ni maoni yangu tu, I stand to be corrected..Wengi wa goons wenye hasira na AW naona hata uzi pia wameususia siku hizi![]()
Ila Mc nimejibu bila kuona comment zako, bado naamini Babu is past by date, ni maoni yangu tu, I stand to be corrected..
Ok Mc,lini baada ya miaka kadhaa tutasema nasi twaweza chukua ubingwa?Honestly sina tatizo na AW bado naamini amekua scapegoat kwenye kila matokeo mabaya ingawa bodi nayo ni ya ovyo,hawa wachezaji mara kibao tu wanashindwa kuipa heshima jersey ya Arsenal zipo game tunapoteza mpaka unaishia kucheka tu ila ni uzembe wa wazi wa wachezaji.
Ok Mc,lini baada ya miaka kadhaa tutasema nasi twaweza chukua ubingwa?
Wajua wengine, mara ya mwisho kuchukua ubingwa tuliweka rangi kama Freddie Ljungberg! Yep I was that crazy!
Sasa hakuna kitu, kuna wachezaji kama Monreal, Giroud na labda baadhi kwenye U23 players, zaidi hakuna!...again waweza kunisaga saga na comment zangu, poa tu, wachezaji waliobaki ni pesa tu...Talk about being in a Capitalist world eehhh?!
![]()
![]()
My standout perfomer kwa game ya leo,Babu vunja kibubu mpe sarafu uyu muarabu maisha yaendelee tu tofauti na hapo itakua aibu kila tukimuona kwa jirani.
Hivi Arsenal imekuza vipaji gani vilivyofanya maajabu?mpira wa sasa sio tena wa kukuza vipaji kwanza kama ambavyo Arsenal bado inaamini.
Soon utaanza kumuita Yuda!
Kusoma hujui hata picha huioni. Nahodha wa kwanza mdogo ulaya kuongoza timu kubwa alikuwa fabregas arsenal.Watafute Denis berkamp, wafaransa Henry walitoka wapi?.Hivi Arsenal imekuza vipaji gani vilivyofanya maajabu?
Umenena, anyway tuendelee na timu yetu...Stan Kroenke sidhani ana waza ku-spend much kwenye market jamaa ni mfanyabiashara ambae anawaza faida tu ndio maana kuna kelele nyingi kua ni bora Usmanov ange-take over labda falsafa ingebadilika mpira wa sasa sio tena wa kukuza vipaji kwanza kama ambavyo Arsenal bado inaamini naamini unajua juzi wamemtangaza Raul Sanllehi kua ni HFR uyu nae akili yake sio kununua ingawa ana ushawishi kwa wachezaji wakubwa.
Hapo namuona AW akiwa mbuzi wa kafara tu hata aje nani sioni mwenye guts za kuingia sokoni akafanya kufuru ndio maana mpaka leo hii tumeshindwa kuwa-retain Ozil na Sanchez kitu ambacho Kroenke anaogopa ni kuandika cheque yenye figure ya kutisha kwa ajili ya mishahara ya hao wawili kwa kisingizo cha sera ya mishahara ya Arsenal ila amini nakuambia kwa mediocre players ambao wana vaa jersey za Arsenal hakuna kocha anaweza anagalau kufanya anayoyafanya AW kwa sasa siku akisepa na mtu akapewa squad hii tutamkumbuka AW,pia kumbuka hata iyo mara ya mwisho tunabeba EPL ni AW ndio alitufikisha hapo ila angalia kikosi chake alafu angalia na sasa.

Kusoma hujui hata picha huioni. Nahodha wa kwanza mdogo ulaya kuongoza timu kubwa alikuwa fabregas arsenal.Watafute Denis berkamp, wafaransa Henry walitoka wapi?..
Kuhusu vipaji usiulize. Walipochukua kombe bila kupoteza 70% walikuwa vijana waliotengenezwa pale pale..
Naiona Man United ikikaa kwa arsenal tena.
Kweli wewe ni nzi. Tunaposema kipaji cha mchezaji kimekuzwa we mean kajulikana akiwa wapi na kakuzwaje.It is a yes for Cesc, though he came through La Masia
It is Dennis Bergkamp na siyo Berkamp, ewe Goon usiyefahamu jina la ‘legend’ wa Goons. Dennis came through Ajax FC’s youth academy. Alijiunga na Goons akiwa na miaka 26!
Titi a.k.a chogo, ni youth product ya timu mbalimbali za Ufaransa akianzia CO Les Ulis, alihamia Goons akiwa na miaka 22.
Ewe Goon, jaribu kusoma historia ya timu yako.
Acha kuongea kama mlevi wa mataputapu!! Yaani 70% ya timu ya Goons ‘invincibles’ walikuwa ni youth products wa Goons?
Nime attach first eleven ya hiyo timu, ni Ashley Cole tu ndiye alikuwa product ya youth academy ya Goons! Sasa hao 70% sijui ni kina nani?
Wewe Goon ebu jiongezee maarifa hapa
Revealed: The Premier League's most successful academies
Angalia jinsi ‘United inavyokaa kwa Arsenal’ na hapa: Top Ten Most Productive English Youth Academies
Na hii ni kwa dunia
Soccer's 10 Best Youth Academies
hukukiandka sawasawa alichokisema Wagner, alisema hivi huwezi kufungwa na Arsenal ukalalamika, akaongeza kuwa huwezi kushangaa kwa matokeo ya jana.Arsenal imeweza kutakata vilivyo ikiwa nyumbani baada ya kuichapa Huddersfield Town 5-0 katika mchezo ambao Arsenal ilitawala kila idara.
Magoli ya Arsenal yamepachikwa na Alexandre Lacazette, Olivier Giroud akiingia nyavuni mara mbili, Alexis Sánchez na Mesut Özil.
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema ni faraja kupata alama tatu muhimu hususan wakati huu ambapo timu zinacheza michezo mingi.
Kwa upande wa David Wagner anayekinoa kikosi cha Huddersfield ametaja matokeo hayo kuwa mabaya na kuongeza kuwa ligi ya EPL ni ngumu kwani kila timu ina uwezo wa kushinda.
Kwa matokeo hayo Arsenal inapanda mpaka nafasi ya nne ikiwa na alama 28.