Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa watoto Huddersfield tukileta uzembe tutabeba aibu maana hawa wapo kile kikundi cha vitimu vinavyowakomalia wazee tukileta utani kama game ya Burnley hakika majirani watahamia hapa leo.
 
Ozil...[emoji460]️
[emoji23][emoji23][emoji23] ame-assist mara 2 kaamua kurudi kambani mwenyewe
 
FT
Arsenal 5-0 Huddersfield
Tunawasubiri Manure tukiwa na winning mentality hii itatusaidia sana kwenye game inayofuata,good thing Ozil,Lacanyavu na Sanchez wote wamefunga ila nimefurahi Ozil ka-assist mara 2.
BRING IT ON....Manure..[emoji1491]
 
Eti itatusaidia!! Naona mmeshasahau kale kawimbo ka [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG]
 
Eti itatusaidia!! Naona mmeshasahau kale kawimbo ka [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG]

Tafuta sehemu yoyote kwenye huu uzi au nje ya uzi huu ukikuta nimewahi kuandika neno Wenger Out basi nipewe BAN kwa mara ya kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom