Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Matokeo ya mechi yatategeme jinsi Manchester United wanavyocheza katika mechi hii ya Emirates
Jose Mourinho amekuwa na tabia ya kupaki basi kwenye mechi kubwa za ugenini, jambo linaloashiria mechi hii inaweza kuishia sare.
Licha ya hilo, ni vigumu kuona jinsi mechi hii itakavyomalizika bila magoli.
Moja ya mahasimu wakuu wa Ligi ya Uingereza watakwaana Jumamosi Arsenal watakapoikaribisha Manchester United katika uwanja wa Emirates.
Manchester United walishinda 4-2 dhidi ya Watford Jumanne usiku. Timu ya Mourinho wakienda mapumziko wakiwa mbele kwa mabao 3-0 shukrani kwa Anthony Martial na mabao mawili kutoka kwa Ashley Young.
Mabao ya kipindi cha pili kutoka kwa Troy Deeney na Abdoulaye Doucoure yaliipatia United utisho kabla ya Jesse Lingard kufunga goli la nne.
Arsenal wameshinda mechi saba Ligi Kuu Uingereza katika uwanja wao wa nyumbani msimu huu (kama walivyofanya Manchester United).
United wamepoteza mechi tatu kati ya tano za mwisho kwenye michuano yote ugenini.
Mbinu ya Mourinho kucheza kwa kujihami kumeifanya United kuondoka bila goli mechi za ugenini Liverpool na Chelsea.
Arsenal hawajaruhusu goli katika mechi zote sita ambazo Laurent Koscielny, Shkodran Mustafi na Nacho Monreal walianza kwa pamoja kwenye safu ya mabeki.
 
Naamini upangaji wa kikosi na approach ya game itaamua matokeo ya leo,AW apunguze kitete kwenye game kama hizi kama akiirudisha ile squad iliocheza game 3 za mwisho ukiondoa Lacazette tu bado tuna nafasi ya kupata matokeo chanya so far Utd wana majeruhi kwa key players ambao wangeleta ugumu ila ajabu utaona Le Coq kaanzishwa leo yaani full kuogopa
C'moooon You Gunners
 
Tumerudisha our "Mojo", je tutaendelea na ushindi?! Yawezekana, tatizo babu haeleweki, waweza sikia kavuruga na kupanga wachezaji ndivyo sivyo kabisa..Maudhi...
Anyway nafikiri ashaelewa kuanzia sasa ni moto chini, hakuna cha lelema wala nini, goli 2 bila zawezekana pamoja na kutegemea domo kaya kuja kupaki basi Emirates..Tuko pamoja
[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]..
 
Tatizo la AW game kama ya leo ni upangaji wa team anawahi kujihami,ile game ya Spurs baada ya kuona kikosi tu nilisema hapa hatuna sababu ya kufungwa maana kila idara ilikua sawa na nikasisitiza tukipoteza game na Spurs AW hausiki na matokeo lawama kwa wachezaji ngoja tuone leo atatoka vipi.
 
Yetu macho..
 
FB_IMG_1512232526833.jpg
our lineup against utd
 
Wenger alisema lacazzette hatakuepo game ya leo nashangaa kwenye lineup yupo...mzee muhuni sana uyu..
 
Here are the line ups for the BIG GAME of the day...

Arsenal's XI: Cech, Bellerin, Koscielny, Mustafi, Monreal, Kolasinac, Ramsey, Xhaka, Ozil, Alexis, Lacazette

Man Utd's XI: De Gea, Valencia, Young, Lindelof, Smalling, Rojo, Matic, Pogba, Lingard, Martial, Lukaku
 
Back
Top Bottom