xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Karibu,usisahau kujadili na kilichotokea juzi pia![]()
Karibu,usisahau kujadili na kilichotokea juzi pia![]()
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs Arsenal 0
Koln 1 vs A
Tushafuzu xaxa
Wa kuitisha arsenal nani kule.Kazi kwenye hatua ya makundi iliisha siku nyingi sana tusibiri draw ndio tunajadili.
Kuna watu wanataja taja timu ambazo zimejichokea kama Atletico Madrid na Dortmund.. Mimi nawaangalia tuWa kuitisha arsenal nani kule.
Safi sana kwa taarifa... Are you goonarette?Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 inaaminika "anawaza tofauti zitakazotokea baada ya kujiunga na timu ambayo ni mahasimu wa timu yake ya zamani lakini anatamani kurejea London" baada ya kutokuwa na furaha na maisha ya jiji kuu la Hispania.
Spurs inaaminika kuna kipengele kwenye mkataba wao wa kumuuza Gareth Bale ambacho kitawapa fursa ya kumrejesha Ligi ya Uingereza.
Nyota huyo wa Wales inafahamika kuwa hana furaha tena Bernabeu na anatamani kuondoka La Liga, Arsenal wakipewa nafasi kubwa kumsajili
Kiungo wa kati wa Arsenal Mesut Ozil anaitaka Barcelona kumlipa dola 370,000 kwa wiki ili kujiunga nao mwezi Januari.Mkufunzi wa Gunners yuko tayari kumwachilia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ili asijiunge na Man United wakati mkataba wake utakapokamilika mwishoni mwa msimu ujao. (AS)
Ozil vp? yupo majeruhi?here's how we lineup today against BurnleyView attachment 638267
sielewi aisee maana kwenye pre match press conference mzee alisema majeruhi n Walcott tu na carzola sasa maybe amepata majeruhi mazoezin ndan ya hizi cku 2Ozil vp? yupo majeruhi?

