Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Arsenal itawalipa Borussia Dortmund takriban £1.8m ili kumuajiri afisa anayesaka wachezaji wazuri Sven Mislintat anayejulikana kama 'Diamond Eye' - kuwa mkuu wa usajili wa wachezaji. (Sport Bild via Sun)
Mkuu kumbe tupo pmj England ila tumetofautiana spainHaaaa haaa ile line-up ilinipa ujasiri wa kuagiza bia mapema sana leo.
Mkuu kumbe tupo pmj England ila tumetofautiana spain
Haswaa c unaelewa tena kule tunafuata Messi na Ronaldo 2Hapa ndio nyumbani kwangu haswaaa kule nachepuka tu swahiba naonekana hasa kipindi cha UCL pande zile.
Ozil asepe 2 nauona umuhimu wake 2 timu ikiwa ina attack but ikiwa inadefend nafuu hata MataTetesi
ARSENAL YAPANGA KUZUNGUMZA NA GORETZKA
Arsenal wataanza mjadala na kiungo wa Schalke Leon Goretzka mwaka mpya kwani wanajiandaa na maisha bila ya Mesut Ozi, kwa mujibu wa Daily Mail .
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani atakuwa mchezaij huru ifikapo 2018 na ataruhusiwa kuongea na klabu nyingine kuanzia Januari.
Leo Babu kaamka vizuri..kaweka wachezaji wa kikosi cha wakubwa.Sio wale Watoto anaowatumia![]()
Kick Off.....COYG
Leo Babu kaamka vizuri..kaweka wachezaji wa kikosi cha wakubwa.Sio wale Watoto anaowatumia
Hii mechi haina uzito sana. Nimefurahi kumuona Wilshere ndani ya nyumba