Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kitu pekee nakifuatilia kwenye hizi game za chandimu ni JW10 bado naamini ana nafasi kikosi cha kwanza kwenye game za EPL,tatizo miguu ya plastic yule dogo.
Namchukulia kama kiungo mkabaji mzuri kama Xhaka ...majeruhi yataharibu kipaji chake
 
Guirassy......
Köln 1-1 Arsenal
Acha utani bhas
4180ee8298adc5f3787b6e1c35babd0d.jpg
 
Kumekucha wajameni, tunaruhusiwa kujadili kile kilichotokea jana au tuache tu yapite?
 
Back
Top Bottom