Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FT
Arsenal 2-0 Spurs
Good game lads [emoji1547] tumestahili ushindi kwa game ya leo wachezaji walikua kwenye good mood leo wameutendea haki NLD.
 
Baada ya kazi nzuri [emoji485] [emoji485] [emoji5]
b5b4133c9633086ab8bb11d9a523bf1c.jpg
 
FT
Arsenal 2-0 Spurs
Good game lads [emoji1547] tumestahili ushindi kwa game ya leo wachezaji walikua kwenye good mood leo wameutendea haki NLD.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] inapendeza zaidi. Ngoja nikapate castle lite bariiiiiidi
 
Na kama mlikuwa hamjuwi, li babu linatufanyia makusudi, lajuwa limeleta maendeleo kama haya, halitaki kocha mwingine afaidi! jinga kweli...Lajuwa kabisa kocha mwingine akija na kukuta miundo mbinu hii na mingine, mbona kingeeleweka..
Babu yupo sana. Na huu plus Highbury estates ndio uchawi wake!
 
Na kama mlikuwa hamjuwi, li babu linatufanyia makusudi, lajuwa limeleta maendeleo kama haya, halitaki kocha mwingine afaidi! jinga kweli...Lajuwa kabisa kocha mwingine akija na kukuta miundo mbinu hii na mingine, mbona kingeeleweka..
Alipomnunua N. Anelka kwa pauni 500,000 tu afu akamuuza Madrid pauni 22m, cash wakanunua London colney! Mara paap wakakopa kujenga Emirates, kutahamaki deni limeisha! Wenger anawafanya wale maboss anavotaka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom