Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

arsenal starting 11 against spurs
FB_IMG_1511004799769.jpg
 
Hata kuangalia mpira siku hizi mood hakuna kabisa..Daah Sijui nini kimeikumba timu yetu

Ni kweli chief yaani unawaangalia wachezaji unaona kabisa jersey zimekua nzito kwao wanashindwa kabisa kupamba kwa ajili ya timu,msimu huu ile game ya Chelsea niliona tumecheza kiume sana na ndio game pekee tulikua Arsenal.
 
Bila Ya Kusahau Kuwa Referee ni Mike Dean... Popote anapochezesha Mpira Yeye na Anthony Tailor Huchezesha Kwa KumFavor Man U kama alivyokuwa Akifanya Kaka Yao Howard Webb...
Chochote chaweza Kutokea....
 
Shughuli shughuli shughuli, mtoto atumwe fegi dukani...
haya tu defend kwa nguvu na imani zote
 
Baada ya kuonewa kwenye match ya man city, na sisi leo zamu yetu kubebwa.
 
Back
Top Bottom