Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Teacher: what's d full meaning of AIDS

Student: *Arsenal Is Dying Slowly*

Kuku ni kuku tu jogoo jina
 
Huja chelewa. Karibu chai na mandazi. Ukimaliza kuna mchele wa kuchambua kule kwa wakina mama wenzako. Ngoja sisi wanume tukachimbe kaburi tayari kwaajili ya kuzika .
Inamaana mmeamua kuzika wakati ndugu wa marehemu wamekimbia mji wao? 😀😀😀
 
Hahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu wafiwa wapo wapi?
Naona akina BAK wameshamkana marehemu.
Ina maana ndugu wa marehemu aliyebaki ni Wenger peke yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi tujitolee kwa hali na mali kuakikisha wanakuwa sawa kisaikolojia. Manake popote walipo nahisi hata kazi hawafanyi kwa ufanisi. Wanawaza Salah na Mane.

Mimi mshabiki wa the blue ila goli la Mane jana nilililike 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…