mkuu nilitia nia wenger akiongezewa mkataba nitakuwa nafuatilia matokeo ya arsenal kupitia mtandao. Alhamdulilah sijitii presha tena,enzi hizo late 90z arsenal ikifungwa usiku silal naicheza mechi kifikra mpaka tunashinda. Siku hizi hata sistukiBahati nzuri moyo na akili vimekufa ganzi kuhusu timu yangu pamoja na kuwa niliangalia mechi kwa kipindi kirefu tu. Maumivu hayapo tena Mkuu maana ukishazoea vipigo hakuna jipya tena, unaingia uwanjani ukijiuliza sijui leo tutapigwa ngapi? Ahsante sana Mkuu.
hahaha nampenda sana dt wacha niangalie povu lakeUyu ni mnafiki, Arsenal ikifungwa anapiga hela kupitia YouTube channel yake ya Arsenal Fan Tv
Uyu ni mnafiki, Arsenal ikifungwa anapiga hela kupitia YouTube channel yake ya Arsenal Fan Tv
Hii post yako imekuonesha ulivo kilaza na mjinga kuhusu maswala ya sokaTimu mbovu ya Arsenal ina kila dalili ya kushuka daraja msimu , huu baada ya kutandikwa kipigo cha mbwa mwizi na Liverpool cha kapu la mabao 4 - 0
Wachambuzi wa masuala ya soka akiwemo Garry Neville wamechukizwa na kiwango kibovu kilichooneshwa na timu hiyo kiasi cha kushangaa !
Mabao ya Liverpool yalitiwa kimiani na Roberto Firmino dk 17 , sadio mane dk 40 , Mohamed Salah dk 57 na Daniel Sturrige dk 77 .
Angalizo kwa washabiki wa Arsenal - Chini ya kocha mbovu Wenger hii timu haitofanya lolote la maana , tafuteni timu nyingine .
dah jamaa kawa mwekundu, hadi huruma.
Aiseee poleni sana naamini mnapitia kipindi kigumu yenye maumivu makali but all in all bila ya Wenger kutoka bado mtapata maumivu makali sana. Babu hana jipya tena mechi ngumu kama ile huwezi kumweka laccazette nje....!!!!mkuu nilitia nia wenger akiongezewa mkataba nitakuwa nafuatilia matokeo ya arsenal kupitia mtandao. Alhamdulilah sijitii presha tena,enzi hizo late 90z arsenal ikifungwa usiku silal naicheza mechi kifikra mpaka tunashinda. Siku hizi hata sistuki
Kwani msimu uliopita top 4 ilipatikana?Msimu huu sidhani kama big 4 itapatikana.
Huja chelewa. Karibu chai na mandazi. Ukimaliza kuna mchele wa kuchambua kule kwa wakina mama wenzako. Ngoja sisi wanume tukachimbe kaburi tayari kwaajili ya kuzika .
Daaah ilikuwaje lakini ??Huja chelewa. Karibu chai na mandazi. Ukimaliza kuna mchele wa kuchambua kule kwa wakina mama wenzako. Ngoja sisi wanume tukachimbe kaburi tayari kwaajili ya kuzika .
Nasikia kadonolewa na kuku dume Mara 4 akafa. Marehemu alikuwa mdhaifu sana kiafya. Inasikitisha kwa kweli