Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 827
- 136
hahahahaha Fat Arse wanasubiria kama fisi anavyosubiri mkono udondoke! Wanaishi kwa mataumaini. BTW, sehemu ya thanks ipo chini ya "stats/profile"
Mkuu Peasant za siku? Ebwana niliimisi jamii forums LAKINI nilifurahi sana wakati tunacheza na Barcha haikuwepo maana hapa pangekuwa hapatoshi......all in all, niliwamisi sana wakuu wote wawe wa Arsenal, Chelsea, MU, etc......tafadhari huo ndio msimamo wa ligi utakavyokuwa mwishoni....tehe