Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Duu Arse nal mko juu! Silvestre naye?

kuna rumours ya arshavin kuondoka hii ndio inanisumbua akili sana japo kuwa haijanistua sana kutokana na body language yake inavyoonyesha lately.sema i hope tutaweza ku-solve tofauti yetu na yeye hili abadilishe mawazo na kurudisha furaha.
 
Nasikia Wenger anamnyemelea Berbat-off hahahahahaha atawafaa sana! Hata Van Niestroy yupo available wanaweza kuziba pengo la Arshavin
 
Nimesikia anakuja huyo dogo wa Moroco,msimu huu Bertnder ameimprove sana
 
Nasikia Wenger anamnyemelea Berbat-off hahahahahaha atawafaa sana! Hata Van Niestroy yupo available wanaweza kuziba pengo la Arshavin
kama anamtaka berbatov basi hakukuwa na sababu ya kumuuza adebayor ha ha ha.dogo chamakh anakuja pale kusaidiana na van persie.
 
Last edited by a moderator:

Chama K is useless kama alivyo Nasri kelele zilikuwa mingi hakuna kitu.....Mbona Madrido hawajamtaka?
 
Dah...Kumbe kipimo cha mchezaji ni mpaka atakiwe na Madrido!!!!!!!!!...Kazi kwelikweli Nkwingwa....
 
nasri huoni vitu vyake mkuu? madrid watake wangapi? jamaa waharibifu wale si unaona Benzema anavyokula bench pale wakati dogo alikuwa kifaa.

lafu sisi tunanunua wachezaji wanao fit arsenal sio wanao fit madrid lool.kwahio kama madrid hawajamtaka sio kigezo cha kwamba hafai.sisi ndio tutawafanya madrid wamtake kutoka kwetu manake jamaa kazi yao kutolea macho wachezaji ambao wana shine kwenye timu kubwa.wanacheza sana fantasy tatizo na matokeo yake pound million 250 ya transfer msimu huu inaenda kuproduce nothing.
 
Dah...Kumbe kipimo cha mchezaji ni mpaka atakiwe na Madrido!!!!!!!!!...Kazi kwelikweli Nkwingwa....

Mazee wale ni Galácticos hebu angalia shehena ya wachezaji iliyo nayo pale?Huyo Chama K is a small fish in da sea. Msajili walinzi umesikia Song anakwenda AC Milan?
 
masanilo akikosa hoja huwa anatundika chochote kinachomjia kichwani au sijui kashaanza kulewa huku anasubiri game yao baadae ha ha ha.

HAhahahahaha haya mazeee naelekea Pub sasa! tuwasiliane kesho regardless ya matokeo ya leo
 
Mazee wale ni Galácticos hebu angalia shehena ya wachezaji iliyo nayo pale?Huyo Chama K is a small fish in da sea. Msajili walinzi umesikia Song anakwenda AC Milan?

hao ac milan ndio kama madrid tu kazi kuua vipaji,kabla hatujawapa SONG watuoneshe mafanikio ya Flamini kwanza.Song haondoki pale ndio kwanza anaongezewa mshahara mkuu.
 
HAhahahahaha haya mazeee naelekea Pub sasa! tuwasiliane kesho regardless ya matokeo ya leo

ha ha ha kesho kwanza bora nikwambia kabisa kwamba wakati wa first half nitakuwa kazini na kipindi cha pili naweza kukimalizia pub karibu na kazini.baada mpira kwisha nipe nusu saa kufika nyumbani hili niwe humu jukwaani manake nishaona lengo lako nini kesho na tunashinda.

kuhusu mechi yako ya leo huwa sichoki kutumia msemo wa "mpira unadunda hahaha"
 
Defense jamani Arse nal .....pale kwenu nyuma naonaga mchezaji ni mmoja tu! Thomas Vermaelen wale wengine akina Clinchy ni mizuka tu!
 
Kwangu Song ndio mchezaji bora wa Arsenal msimu huu but kwa policy za huyo Mzee kuondoka si ajabu
 
Mazee wale ni Galácticos hebu angalia shehena ya wachezaji iliyo nayo pale?Huyo Chama K is a small fish in da sea. Msajili walinzi umesikia Song anakwenda AC Milan?

Song aende tu...Tutasajili mlinzi this time..Aende tu(kama anataka)...Kaondoka Flamini,Hleb,Vieira,Edu et al,so akiondoka tutampata tu mwingine bana
 
Mazee wale ni Galácticos hebu angalia shehena ya wachezaji iliyo nayo pale?Huyo Chama K is a small fish in da sea. Msajili walinzi umesikia Song anakwenda AC Milan?

Madrid wanaua vipaji tu(japo ni timu yangu Spain)...We waangalie Michael Owen,Mc Manaman,Robinho,Schneider n.k......hakufai kule
 
Kwangu Song ndio mchezaji bora wa Arsenal msimu huu but kwa policy za huyo Mzee kuondoka si ajabu
policy ya mzee mara nyingi inategemea na attitude ya mchezaji mwenyewe na kwa hilo sijaliona kwa Song bado.ni kweli kuna timu zitatoa offer lakini Song sio mchezaji wakuongezea chumvi hili aondoke.

yule arshavin ndio chizi jamaa anakupa kitu straight forward na timu ikitoa offer pale nina huakika jamaa ataongezea uchafu wake na kumfanya Wenger amuuze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom