Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kipigo cha Mbwa Mwizi....Mesi four goals ile aibu, kila timu ina majeruhi wala hiyo si sababu!

Sio aibu...Ni mpira...tulizidiwa(majeruhi walichangia ukilinganisha na Barca ambao pamoja na kuwa na majeruhi walikuwa na subsitutes walioweza kuziba mapengo vema)...Barcelona wao pengo la Puyol na Pique lilizbwa vizuri tu na Milito na Marquez,pia pengo la Iniesta na Ibrahimovich yalizibwa vizuri tu na Bojan na Bisquets...Sisi mapengo ya Gallas,Song na Fabregas yalikuwa ni dhahiri,hayakuzibika...Ndo maana unaona Sylivestre badala ya kuokoa alipata mchecheto akampa Messi Pasi akafunga goli la kwanza...Halafu sidhani kama ni aibu kwa Timu kufungwa magoli 4-1,ni kuzidiwa mchezo tu babaake...Halafu sometimes uwe watumia lugha za busara ndugu yangu,si vema kuita wenzio Fat Arse Anal...Hili ni jukwaa la Michezo na Burudani,tuwe na utani wa kimichezo jama........
 
Hata hii pia ipate nafasi ya kujadiliwa....

Referee Mike Dean demoted after Manchester United v Chelsea errors
• Assistant referee Beck also dropped
• United manager Ferguson criticised both officials

The Premier League referee Mike Dean has been demoted to the Championship this weekend, as a punishment for his erratic display in Manchester United's 2-1 defeat by Chelsea at Old Trafford last Saturday.

Simon Beck, an assistant referee in the same match, will join him in the second tier after failing to raise his flag when Didier Drogba was clearly offside for Chelsea's second goal. The pair will take charge of Bristol City's home game against Swansea on Saturday.

After the United vs Chelsea match the two officials were criticised by Sir Alex Ferguson for their "poor, poor performance". United's manager was also unsparing in his match report to the Premier League. However, Professional Game Match Officials Limited decided the mistakes were serious enough to demote Dean and Beck without any interference from Old Trafford.

Beck has not been informed when he will next be involved in a Premier League match and is missing from the list for next week's midweek fixtures. Dean, a member of the elite group of Fifa referees since 2002, will be the fourth official for Wigan Athletic's home game against Portsmouth on Wednesday 14 April.

It follows Dean's failure to award penalties for United, when Yuri Zhirkov tripped Park Ji-sung, and Chelsea, when Gary Neville barged into Nicolas Anelka. The 41-year-old also allowed Federico Macheda's goal to stand, rather than awarding a handball against the teenager.

Dean's appointment for such an important game had come under scrutiny because of his performance in Burnley's 1-0 defeat by Blackburn Rovers the previous weekend.

Brian Laws, the Burnley manager, said Dean had been "conned" into awarding a match-winning penalty when Martin Olsson went to ground despite there being no contact from the goalkeeper, Brian Jensen. Olsson has since admitted that he went into the game aware of Dean's reputation for awarding penalties.

Laws said Dean's subsequent appointment to the biggest match of the Premier League season to date was "mad".

After the loss to Chelsea, Ferguson said: "When I saw it was Mike Dean I did worry, I have to say."

Hapo kwenye nyekundu napo umesoma? Ni kweli goli la Drogba lilikuwa offside, lakini la Manure nalo lilikuwa handball. Timu zote zilinyimwa penalty, nafikiri ya Chelsea ilikuwa ya wazi zaidi....Anyway, tuki-cancel hayo magoli mawili ya utata tunabaki na 1-0 kwa Chelsea.
 
Teh teh teh nilifurahia sana one two kati ya Silvester na Mesi, nadhani Silvester ni chezaji mzuri sana anaweza badili matokeo muda wowote wa mchezo! Thank you Silvester wa Fat Arse Anal

hile one 2 yake ilikuwa kiboko sana.sasa baadae nikamshangaa wenger kama alikuwa ana option ya kumueka kati sagna alafu eboue akacheza pembeni kwnaini alianza na ule mzigo wake wa kifaransa anaoubeba bila sababu.
 
pole sana jirani. nafikiri siku hiyo ulinyong'onyea sana!

Ilikuwa siku mbaya sana kwangu....Nilijua tunafungwa tu,so nilijiandaa kisaikolojia..hahaaaaaaaaaa...Ile ilikuwa ni Messi Vs Arsenal............Messilicious hahaaaaaaaaa,sitamsahau aisee
 
hahahaha! jaribu kuwa fair hapo, najua ulikuwa unaombea sana draw....mbona husemi kama goli la Manure Macheda alifunga kwa MIKONO?

Mzee hawezi ona hilo, penalty ya Anelka nayo hawezi iona! teh teh teh watadai na ya Park Ji-Sung! Basi wacha iwe 1-0, futa goli la Drogba na Goli la mkono la Macheda KIKO
 
hahahaha! jaribu kuwa fair hapo, najua ulikuwa unaombea sana draw....mbona husemi kama goli la Manure Macheda alifunga kwa MIKONO?

Niko more than fair jirani...Goli la Macheda ni la mkono,hakuna ubishi...draw ingefaa zaidi...hahaaaaaa
 
Hii kitu mupya haina sehemu za thanks nilitaka nikugongee hapa Peasant! Jamaa wa Fat Arse Anal ni balaaa trophy-less again walijua wao ni mabingwa wa CL na PL
 
Draw ingetoka wapi mkuu umesahau Joe Cole aliishafunga goli tokea kwa kazi nzuri ya Maoluda?
 
hile one 2 yake ilikuwa kiboko sana.sasa baadae nikamshangaa wenger kama alikuwa ana option ya kumueka kati sagna alafu eboue akacheza pembeni kwnaini alianza na ule mzigo wake wa kifaransa anaoubeba bila sababu.

Heri hata ya Sol Campbell asingekuwa anatoa pasi! Wenger wakati wingine ni kama kocha wa taifa stars Maximo! Silvester kuwekwa Mkoba hahahahahah pale hata Ngasa na mwenzake Tegete wangefunga tu!
 
Hapo kwenye nyekundu napo umesoma? Ni kweli goli la Drogba lilikuwa offside, lakini la Manure nalo lilikuwa handball. Timu zote zilinyimwa penalty, nafikiri ya Chelsea ilikuwa ya wazi zaidi....Anyway, tuki-cancel hayo magoli mawili ya utata tunabaki na 1-0 kwa Chelsea.

Unamiss Point hapa ndugu..Sijaileta hii post kwa lengo la kusema kwamba Chelsea wamebebwa ama nini,nimeileta ijadiliwe....ndo maana nikakujibu kwamba am more than fair...Mbona post inajieleza jirani?,kwamba Refa na msaidizi wake wameadhibiwa kutokana na madudu waliyoyafanya katika mechi ile...na si vingine..Pamoja
 
Hii kitu mupya haina sehemu za thanks nilitaka nikugongee hapa Peasant! Jamaa wa Fat Arse Anal ni balaaa trophy-less again walijua wao ni mabingwa wa CL na PL

Ipo chini kabisa ya Avatar upande wa kushoto
 
Sio aibu...Ni mpira...tulizidiwa(majeruhi walichangia ukilinganisha na Barca ambao pamoja na kuwa na majeruhi walikuwa na subsitutes walioweza kuziba mapengo vema)...Barcelona wao pengo la Puyol na Pique lilizbwa vizuri tu na Milito na Marquez,pia pengo la Iniesta na Ibrahimovich yalizibwa vizuri tu na Bojan na Bisquets...Sisi mapengo ya Gallas,Song na Fabregas yalikuwa ni dhahiri,hayakuzibika...Ndo maana unaona Sylivestre badala ya kuokoa alipata mchecheto akampa Messi Pasi akafunga goli la kwanza...Halafu sidhani kama ni aibu kwa Timu kufungwa magoli 4-1,ni kuzidiwa mchezo tu babaake...Halafu sometimes uwe watumia lugha za busara ndugu yangu,si vema kuita wenzio Fat Arse Anal...Hili ni jukwaa la Michezo na Burudani,tuwe na utani wa kimichezo jama........

Now you're talking! It's about squad depth that wins you championship, it's all down to Wenger kwanini squad yenu iko ndogo! Kila timu msimu huu imekuwa na majeruhi wa muda mrefu....lakini ninyi akikosekana Song na Fabregas biashara kwisha! And don't buy into Wenger's words, kila mwaka anasema "nitanunua", usajili ukifika anakwambia hakuna mchezaji mzuri sokoni wa kununua....lakini akitokea wa bure kama Silvestre, Campbell, Chamakh na vitoto vingine ambavyo hatuvijui utaona anachangamkia tenda, business as usual.
 
Hii kitu mupya haina sehemu za thanks nilitaka nikugongee hapa Peasant! Jamaa wa Fat Arse Anal ni balaaa trophy-less again walijua wao ni mabingwa wa CL na PL

Sio fresh hivyo Home Boy....................dah
 
Tatizo ni Kocha.....Ndo maana baada ya game na Barca kastuka,kasema itabidi anunue sasa(kitu ambacho si kawaida kutamkwa na Wenger)...Arsenal hatuna Striker so far baada ya kuumia RVP...Waliobaki wengi ni viungo...Pia hatuna mbadala wa mabeki wa kati mara wanapoumia ama wanapoadhibiwa Gallas na Vermaelan
 
Hii kitu mupya haina sehemu za thanks nilitaka nikugongee hapa Peasant! Jamaa wa Fat Arse Anal ni balaaa trophy-less again walijua wao ni mabingwa wa CL na PL

hahahahaha Fat Arse wanasubiria kama fisi anavyosubiri mkono udondoke! Wanaishi kwa mataumaini. BTW, sehemu ya thanks ipo chini ya "stats/profile"
 
Unamiss Point hapa ndugu..Sijaileta hii post kwa lengo la kusema kwamba Chelsea wamebebwa ama nini,nimeiletwa ijadiliwe....ndo maana nikakujibu kwamba am more than fair...Mbona post inajieleza jirani?,kwamba Refa na msaidizi wake wameadhibiwa kutokana na madudu waliyoyafanya katika mechi ile...na si vingine..Pamoja

Tuko pamoja mkuu! Ni kweli refa na kibendera wake walichemsha siku hiyo, hakuna ubishi. Wamesababisha watu wajadili ubovu wao badala ya ushindi wa Chelsea. BTW, japo alikuwa offside lakini Drogba alimaliza vizuri lile bao....nini maoni yako?
 
Ni goli zuri sana lile.....Nawakubali sana Drogba,Wayne Rooney na Fernando Torres...Arsenal tunahitaji striker wa aina ya hawa
 
teh teh teh Fat Arse A....balaa hivi haamuoni pia Almunia muda wake umekwisha? hahahahaahh Wenger akwamzisha Walcott hahahahah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom