Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal inatakuwa timu ya nne au ya tano mwisho wa ligi. Lakini haiwezi kushinda ligi. Manchester City, Manchester United and Tottenham are better team than Arsenal. Haya ni maoni yangu. Sababu: Their defence is not as good as other top teams.

Hiyo defence mbovu ya Arsenal umeiona kwenye game gani mkuu..?
 
Mkuu Arsenal 4 - 3 leicester . Timu nzuri kufunga magori lakini wanatakiwa wasifungwe magori matatu wakicheza nyumbani.

Backline walikuwepo Holding,Monreal na Kolasinac kama unaijua backline ya Arsenal utagundua kuna wahuni wenyewe hawakuwepo na sub alitolewa Holding alafu akarudi Ox hapo lazima uone kwa nini beki iliruhusu makosa.
 
Ni ukweli, lakini Sio tuu kama Ijumaa, kila mwaka kwa miaka mitano iliyopita siku zote wana upungufu kwenye defence. Hawana watu kama wenye experince kama Martin Keown, Tony Adams, ashley Cole, Dixon, Sol Campbell, Kolo Toure, Lauren. Halafu to protect back four hawana watu wazuri kama Gilberto Silva, Patrick Vieira au Emmanuel Petit.
 
Arsenal inatakuwa timu ya nne au ya tano mwisho wa ligi. Lakini haiwezi kushinda ligi. Manchester City, Manchester United and Tottenham are better team than Arsenal. Haya ni maoni yangu. Sababu: Their defence is not as good as other top teams.
Are u arsenal Foe real? U set ur targeys for ur lovely team too low.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajamvi, nilisoma humu kwamba Arsenal wanaongoza league, sasa sijapata bahati kuona msimamo wa league, please mwenye kujua anifahamishe pls !!!!
 
Backline walikuwepo Holding,Monreal na Kolasinac kama unaijua backline ya Arsenal utagundua kuna wahuni wenyewe hawakuwepo na sub alitolewa Holding alafu akarudi Ox hapo lazima uone kwa nini beki iliruhusu makosa.
Alikuwa anapima vifaa na bado akashinda. Mustafi, Laurent, Kolasnac, Bellerin foward gani atavuka hapo sub awepo paulista na monreal, holding. Acheni mzaha arsenal nyuma wako vizuri mbele nako kwa moto. Man mwaka huu ajiandae mvua ya barafu.
Kule Sanchez kule ozil hapa mbele lacazete kati xchaka na quoqueline viungo wa kukaba mwanzo mwisho. Sijui chambalain akae wapi .Daaah hatari tupu.

Manyua jana wametutumia salamu ya 4. Wacha tutafute weekend ijayo tuwajibu lwa mkono au sita kabisa.

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Are u arsenal Foe real? U set ur targeys for ur lovely team too low.

Sent using Jamii Forums mobile app

I am not arsenal fan, but i like to watch good football. I have seen great arsenal teams with Bergkamp, overmars, henry
Hiyo defence mbovu ya Arsenal umeiona kwenye game gani mkuu..?

Game iliyopita against Leicester. Kama unacheza nyumbani you should never concede three goals.
 
I am not arsenal fan, but i like to watch good football. I have seen great arsenal teams with Bergkamp, overmars, henry

Game iliyopita against Leicester. Kama unacheza nyumbani you should never concede three goals.
That great Arsenal has long been passed. Even Manyua i used to hate is long been gone. Football is not the same anymore. Money have polluted our game. Players envy more money than the beauty of it.

We wl never see that football again

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
That great Arsenal has long been passed. Even Manyua i used to hate is long been gone. Football is not the same anymore. Money have polluted our game. Players envy more money than the beauty of it.

We wl never see that football again

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app

You are right mkuu, Lakini naona ni vizuri mtu ambaye hana elimu lakini anajua kucheza mpira awe analipwa kama mkuu wa benki kubwa. Mimi sioni hiyo ni vibaya. Money is distributed from rich to to poor people.
 
Pamoja na kushinda nne ..lakini hamko hata top 4

Kweli nmeamini arsenal ni sikio la kufa.
 
Back
Top Bottom