Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi ya leo kama ile ya Liverpool mwaka jana
6615d64578df3bf2c6cac08a82e9a78f.jpg
 
Kabisa Mkuu mie draw ningeona ni ushindi pamoja na kuwa tulikuwa nyumbani. Sikutegemea performance kama hii Mkuu. Shukrani sana kwa hongera.
Yaah umeandika ukweli hali ilikuwa tete but ushindi mlioupata jana kwa style ile nao una raha yake ingawa ustahmilivu uliwahusu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongera.. kwa udhamin wa braza mbavu a.k.a bodybuilder kolasinic.. huyu anatufaa..sent using my nokia ya tochi
Ila naye alisababisha kufungwa goli moja, bado nyuma hakueleweki, tuna bahati, najuwa tuna wagonjwa ila naye Babu yuko loyal mno, mno...
 
Ila naye alisababisha kufungwa goli moja, bado nyuma hakueleweki, tuna bahati, najuwa tuna wagonjwa ila naye Babu yuko loyal mno, mno...
Kumbuka Mustafi, Konsienly, Gabriel na Per wote walikuwa nje. Yani beki zote za kati hazikuwepo, pale Wenger kachezesha makeshift ya left backs kucheza kama centre backs.

Binafsi nampongeza Monreal na Kolasinac , hawa sio centre backs lakini wamejitahidi kujaza pengo.
 
Walichojitahidi ni kutokuruhusu goli nne, ila bao tatu nyumbani sio kujitahidi huko.
 
Walichojitahidi ni kutokuruhusu goli nne, ila bao tatu nyumbani sio kujitahidi huko.
Wale sio centre backs, unalijua hilo? Monreal na Kolasinac ni either left backs au wing backs.

Imagine kesho umchezeshe Giroud midfield, utaleta mrejesho. Tusubiri natural centre backs warudi, hapo ndio tunaweza kutoa judgement.
 
Najua, na nimekubali juhudi zao!
Point tatu kibindoni.
 
Kumbuka Mustafi, Konsienly, Gabriel na Per wote walikuwa nje. Yani beki zote za kati hazikuwepo, pale Wenger kachezesha makeshift ya left backs kucheza kama centre backs. Binafsi nampongeza Monreal na Kolasinac , hawa sio centre backs lakini wamejitahidi kujaza pengo.
Safi sana kwa kupena moyo, ndiyo timu yetu, through thick and thin, ngoja niwatazame LiverpoolFC Napenda mpira wao..
 
Back
Top Bottom