Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwaka huu ni maalum kwa Arsenal kuchukua ubingwa wa EPL kama kocha Arsene Wenger ataongeza baadhi ya wachezahi katika kikosi chake.
Wafuatao ni wachezaji ambao kama wakiingia Emirate,basi ubingwa upo nje nje.
1.Thomas lemar na
2.Jean michael Seri
Pia kama Arsenal itafanikiwa kuongeza mkataba na Alexis na akaendelea kusalia Emirate Epl itakua mikononi mwa Arsenal.
d7ff1964beb51b973421da20833179a1.jpg
1c11b1ed69f8721baa8b700b055f65f7.jpg
818bf544f9cc6dbfc2e628d2ffcf17dc.jpg
7e6c643b4bc3861b401a3d5d22182faf.jpg
d5feab972f4ad7162b7d3e6748db4c3b.jpg
20163740fd0fa2f47a1d5266488dc438.jpg
fb8f67b90566f160a473af80cf101847.jpg
fa066baf8fcb864fcab3250de63e1292.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm ntaipenda arsenali atakama ikishuka daraja bado ntaishabikia tuu
 
Hii tweet ni ishara kuwa ameenda kufanya majadiliano na PSG?

Babu akiulizwa anatujibu hauuzwi. Ila binafsi kwa ambae miezi 12 ijayo anakuwa huru 80 ni nyingi sana kuikataa

IMG-20170813-WA0105.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tweet ni ishara kuwa ameenda kufanya majadiliano na PSG?

Babu akiulizwa anatujibu hauuzwi. Ila binafsi kwa ambae miezi 12 ijayo anakuwa huru 80 ni nyingi sana kuikataa

View attachment 564855

Sent using Jamii Forums mobile app

PSG wamefika 80..?mimi naamini ni wakati wa kumuacha uyu Alexis asepe tu hakuna haja ya kukimbizana nae tena,leo sijapita twitter kule ngoja nikaone maoni ya viona mbali.
 
Arsenal inatakuwa timu ya nne au ya tano mwisho wa ligi. Lakini haiwezi kushinda ligi. Manchester City, Manchester United and Tottenham are better team than Arsenal. Haya ni maoni yangu. Sababu: Their defence is not as good as other top teams.
 
Back
Top Bottom