McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
We're strugglin'
81 mins
Stoke 1-0 Arsenal
81 mins
Stoke 1-0 Arsenal
Pole sana mkuu....mm ntaipenda arsenali atakama ikishuka daraja bado ntaishabikia tuu



We're strugglin'
81 mins
Stoke 1-0 Arsenal
Mkuu unamdharau Chelsea? Ule moto ni mkali sana. Nadhani uliona hata baada ya zile kadi mbili nyekundu goli zikaanza kurudi. Watu wako 9 uwanjani na wanapiga mpira mkubwaArsenal inatakuwa timu ya nne au ya tano mwisho wa ligi. Lakini haiwezi kushinda ligi. Manchester City, Manchester United and Tottenham are better team than Arsenal. Haya ni maoni yangu. Sababu: Their defence is not as good as other top teams.
Mkuu zile goli 3 mechi ya kwanza zilipita wapi?Hiyo defence mbovu ya Arsenal umeiona kwenye game gani mkuu..?
hahahaha arse8, wajiangalie aiseeeMkikutana na mashetani wa 4G sijui itakuwaje. Itarudia tena ile 8 nn????