Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal tupo hapa tunasubiri mechi na wahasimu wetu wengine potters yaani Stoke City jumamosi ijayo.

Stoke wamemsajili mshambuliaji Jese Rodriguez ambae miaka miwili ilopita alipigwa kiatu cha uhakika na Saed Kolasinac beki wetu wa kushoto ambae tumemsajili bila ada yoyote.

Real-Madrid-CF-v-FC-Schalke-04-UEFA-Champions-League-Round-of-16.jpg

Jese Rodriguez akiugulia mwaka 2014 baada ya kupata kiatu cha uhakika kutoka kwa Saed Kolasinac.

Rodriguez alikuwa akichezea Real Madrid na walikuwa wakicheza mechi ya CL na Schalke ambayo Kolasinac alikuwa beki wao.

Arsenal wanatarajiwa kutia timu mjini Stoke siku ya Alhamisi kwa ndege ya kukodi.

Arsenal-v-Leicester-City-Premier-League.jpg

Beki wetu mpya mshahara Saed Kolasinac akimdhibiti Riyad Mahrez Arsenal walipocheza na Leicester City Ijumaa ilopita uwanjani Emirates.
 
AW amesema hakuna kinachoendelea kuhusu contract extension ya Alexis ivyo inaonyesha iko wazi ataondoka bure baada ya msimu huu.
 
Kwa hili nimemkubali sana AW.Sanchez atulie acheze mpira mwakani asepe.Anajiona mkubwa kuliko club
 
23e78482656e3b596aeb94e277edde66.jpg

Paulista to Valencia kwa ada ya £10 M naona AW anajaribu ku-off load ila hatujui kama ataleta mtu mwingine.
 
Ila kwa CB nafkiri tunao wa kutosha kwa sasa..Holding,Per,Kosc,Mustafi Huyo Gabriel nafasi ilikua finyu kwake.
 
[HASHTAG]#coyg[/HASHTAG]
Natazama Idimi Bengazuu
They do look good, mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..
Na ninakubali kwa UCHUNGU ila nifanyeje, wako vizuri wajameni...
 
Paulista to Valencia kwa ada ya £10 M naona AW anajaribu ku-off load ila hatujui kama ataleta mtu mwingine.
Alete wapi mkuu, Arsenal wameingiza zaidi ya £400m Last Season! Cha kushangaza hata Everton FC wemenunua wachezaji zaidi kuliko sisi na huku kipato chao kiko chini around £100+?!
Kazi ipo, ni shidaa...
 
Arsenal tupo hapa tunasubiri mechi na wahasimu wetu wengine potters yaani Stoke City jumamosi ijayo.

Stoke wamemsajili mshambuliaji Jese Rodriguez ambae miaka miwili ilopita alipigwa kiatu cha uhakika na Saed Kolasinac beki wetu wa kushoto ambae tumemsajili bila ada yoyote.

Real-Madrid-CF-v-FC-Schalke-04-UEFA-Champions-League-Round-of-16.jpg

Jese Rodriguez akiugulia mwaka 2014 baada ya kupata kiatu cha uhakika kutoka kwa Saed Kolasinac.

Rodriguez alikuwa akichezea Real Madrid na walikuwa wakicheza mechi ya CL na Schalke ambayo Kolasinac alikuwa beki wao.

Arsenal wanatarajiwa kutia timu mjini Stoke siku ya Alhamisi kwa ndege ya kukodi.

Arsenal-v-Leicester-City-Premier-League.jpg

Beki wetu mpya mshahara Saed Kolasinac akimdhibiti Riyad Mahrez Arsenal walipocheza na Leicester City Ijumaa ilopita uwanjani Emirates.
Naona kashawamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom