Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

df4e7d6551c133d5338ee6f9e07fdb4c.jpg
mchana wakati naongea na watu wangu wa karibu ambao tuko kundi moja walinibishia sana ila sasa ivi siongei tena wanashuhudia kwa macho yao wenyewe
VP mkuu bado wanabisha hao jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Courageous Arsenal! Hopefully they will be able to maintain this kind of determination and pace for the rest of the season.
 
Ligi hii ngumu sana, never say it's gonna be easy, let's take one game at a time. GOYG!!
 
Granit Xhaka's game by numbers vs. Leicester:
96 passes
6 crosses
5 chances created
4 shots
2 assists


Xhaka kama dawa kutwa mara tatu
 
Uyu Granit Xhaka aongezewe mkataba wenye sarafu za kutosha mapema sana kuna dalili wale beba beba wakaibuka jamaa anaupiga mwingi recently naona kazoea ligi mpaka sasa Lacanyavu kaonyesha ana kitu ata-offer yuko sharp nasubiri kumuona wakitengeneza combo na Ozil + Sanchez.
 
Back
Top Bottom