Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Ufupi wamponza Costa
Mpaka hapa mmenyanyua kwapa labda muamue kupoteza game hongera in advanceRed card to Moses, Chelsea wamebaki 10.
Hahahaha baba Jesca anabana sanaaaa,nawaombea dakika zikimbie tuHahahahaha lol! Binti mpotevu! Hatimaye leo umezuka jamvini. Hali ni tete kwa kweli defense yetu kama kawaida inafanya makosa ya kijinga. Hopefully tutaweza kukaprotect haka kagoli kamoja.