Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

HT
Arsenal 1-0 Chelshit
Kulikua na nafasi za kua mbele kwa goli zaidi ya 1 ni kutokua tu makini kwa wachezaji.
Pamoja na hayo sioni Chelsea kama ana ubavu wa kushinda hii mechi. Welbeck uchoyo apunguze angetoa pande pengine wangeliongeza la pili
 
Hizi nafasi tatu za wazi walizozipoteza itabidi kipindi cha pili kikianza wafunge goli vinginevyo Chelsea akisawazisha wanaweza kuvunjika moyo na Chelsea kuwashindilia magoli
 
Back
Top Bottom