everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Nyingi hapa tundikeni la tatu tena!! Halafu tuendelee kuminya tuSawa sasa kuna kama dakika 15 za kulinda ushindi, ukiweka na zile za majeruhi.
Nyingi hapa tundikeni la tatu tena!! Halafu tuendelee kuminya tuSawa sasa kuna kama dakika 15 za kulinda ushindi, ukiweka na zile za majeruhi.
Hivi unaweza pata rafiki kama mimi!! Asiyekuwazia mabaya anayekutakia mema!! Sema tu kipenziii!! Nimekumissssss!!!
Kesho kanisani malizeni hii game bana tuwahi kulala!!!
Hahahaa GGM....oshiiii!! KOYIGIIII!!!! Hahhaha!!Hahahaha...Sema "COYG" basi
Oyoooooooo dah machozi yalikuwa yananitoka.
Asante Mungu
COYG![]()
Hahahhahha aiseee nitabaki Simba tu!! Huku nitakufa siku si zangu!!Karibu sana Gunners achana na hao nanihii 🙂🙂
Hahahhahha aiseee nitabaki Simba tu!! Huku nitakufa siku si zangu!!
Dah! Weye unajua kupenda, bila shaka hata kwa Bold huwa unaangusha chozi kwa penzi zito. 🙂🙂
huu uchokozi sasa

Umeona eeeehhh!! Ndo maana nawaombea angalau hili liwapoze!!!Inahitaji moyo mgumu kuipenda Arsenal lol!
GGM tena, COYG ukiwa pande hii. Miss u too!Hahahaa GGM....oshiiii!! KOYIGIIII!!!! Hahhaha!!
Hahaha muonekano huu siuelewi!!! Umeanza ubondia lini?GGM tena, COYG ukiwa pande hii. Miss u too!
Umeona eeeehhh!! Ndo maana nawaombea angalau hili liwapoze!!!
Mali yake atamuachia nani!! Subirini akule maprofitKweli kabisa lakini Babu Wenger inabidi tu abwage manyanga kishachokwa kupita kiasi.

Hahaha muonekano huu siuelewi!!! Umeanza ubondia lini?
Ziishe tu fastaaa!!!2 minutes to go