Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Dakika ya 76
Arsenal 1-1 Chelsea
Arsenal 1-1 Chelsea
Hahahaha baba Jesca anabana sanaaaa,nawaombea dakika zikimbie tu
Mpaka hapa mmenyanyua kwapa labda muamue kupoteza game hongera in advance
Unakuja tu tukishinda[emoji12] [emoji12] [emoji12]Safiiiiiiiii
Yaani nilinyong'onyea balaaa!!! Safi Arsenane!! Ninavyowashabikia sasa ole wako baadaye ulete maneno hahahaha!!!Pole sana aisee. Baba Jesca ni nomaaa anataka kuhakikisha ndoto yake ya Watanzania kuishi kama mashetani inatimia. 🙂🙂 dah! Jamaa wanasawazisha!
Hivi unaweza pata rafiki kama mimi!! Asiyekuwazia mabaya anayekutakia mema!! Sema tu kipenziii!! Nimekumissssss!!!Unakuja tu tukishinda[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Yaani nilinyong'onyea balaaa!!! Safi Arsenane!! Ninavyowashabikia sasa ole wako baadaye ulete maneno hahahaha!!!
Hahahaha...Sema "COYG" basiHivi unaweza pata rafiki kama mimi!! Asiyekuwazia mabaya anayekutakia mema!! Sema tu kipenziii!! Nimekumissssss!!!